Information Management = better crisis management

Information Management = better crisis management

..nadhani hawawezi kutoa taarifa kwasababu kwa muda mrefu wamekuwa wakisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa, na mtu yeyote mwenye changamoto za kiafya, au mwenye ulemavu, hastahili kuchaguliwa kuwa Raisi wa Tanzania.
 
Nikuulize mkuu ile issue ya Ujerumani kulazwa alipaswa kuanzisha Serikali. Afu punguza sana haya mambo ya Serikali ya CCM. Imeshachaguliwa Ni Serikali and that means Ni yetu sote. Neno dogo tu Serikali ya CCM unapolitumia katika muktadha huu inakutambulisha aina ya mtu na malengo...
Bora kusema serikali ya CCM kuliko kusema serikali ya mtu Fulani tena kwa kulitaja jina lake,hizi marufuku ziwe kwa wote
 
Nikuulize mkuu ile issue ya Ujerumani kulazwa alipaswa kuanzisha Serikali. Afu punguza sana haya mambo ya Serikali ya CCM. Imeshachaguliwa Ni Serikali and that means Ni yetu sote. Neno dogo tu Serikali ya CCM unapolitumia katika muktadha huu inakutambulisha aina ya mtu na malengo...
Ngoja nikuulize:

Hivi unaona ni sawa kabisa au ni kawaida kwa Rais kutokuonekana popote pale kwa zaidi ya wiki mbili na serikali iko sahihi kabisa kutokusema chochote kile kilicho cha uhakika kuhusu aliko na labda hali yake ikoje?
 
..nadhani hawawezi kutoa taarifa kwasababu kwa muda mrefu wamekuwa wakisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa, na mtu yeyote mwenye changamoto za kiafya, au mwenye ulemavu, hastahili kuchaguliwa kuwa Raisi wa Tanzania.
Well, they better be careful.

Kifo kinaweza kikawaumbua.
 
Nyani Ngabu na uhabarishaji wako kwa njia ya mtandao uwezo wa kupata habari ni finyu sana sana ukilinganisha na Taasisi ya Urais.

Ni Taasisi ambayo inahakikisha usalama wa nchi, raia na mali zai...
Well, I hope you are right.

And I want it to be that way [that I’m wrong and you are right].
 
Why crisis management??? Tanzania ina 'Government Continuity Plan' bora kuliko nchi nyingi Africa na hata Middle East! As you said, information lazima ziwe managed, sio kila taarifa inapaswa kuwa broadcasted, na sio kila uvumi wa mitandao (au mainstream media) lazima ujibiwe. For very obvious reasons, wananchi wanapewa taarifa 'on a need to know basis'..Afterall, Ofisi Ya Rais haifanyi kazi na mitandao ya kijamii,
Ni sahihi lkn walitakiwa wawe hatua moja mbele ya mitandao... wao ndo walitakiwa kuwa credible source ya info kwa sisi wananchi...so wangefanikiwa kutuaminisha kile wanachotaka sisi tujue... leo hii ikitokea kile kinachosemwa mtandaoni ni kweli... inamaana wamepoteza credibility.. next time watu wataendelea kuamini zaidi mitandao. Sijui huwa wanawazaga nini? Mabavu huwa hayajengi kabisa... kumcontrol mtu kwa kumnyamazisha ...its a wrong move.
 
No Tl has influence on social networks BBC , DW wasingetoa attention ...Jana aliposema mzee kapooza kiuno , upande mmoja na Covid 19 ...people started to get the high view about it condition na walivyo relate na statement ya VP
Stroke
 
Kwa msingi huo, ina maana basi jamaa bado yu hai, siyo?

Manake ingekuwa ni kinyume na hivyo, kwa nini waogope kutangaza?

Ila wanakosea sana.

Imani ya wananchi kwa serikali yao imeshuka sana.

Kama wanadanganya watakuwa wanacheza kamari ya kipumbavu sana!
 
Unajua hata Rais Nyerere alikuwa anaweza asionekane mwezi mzima.

Lakini walichofanya RTD ni kwamba kulikuwa na kipindi cha hotuba zake kila saa 02:15 usiku hadi 02:30 hata kama ni hotuba za zamani.

Hivyo wananchi waliisikia sauti ya rais wao kila siku hadi vijijini hata asipoonekana magazetini.


Ngoja nikuulize:

Hivi unaona ni sawa kabisa au ni kawaida kwa Rais kutokuonekana popote pale kwa zaidi ya wiki mbili na serikali iko sahihi kabisa kutokusema chochote kile kilicho cha uhakika kuhusu aliko na labda hali yake ikoje?
 
Why crisis management??? Tanzania ina 'Government Continuity Plan' bora kuliko nchi nyingi Africa na hata Middle East! As you said, information lazima ziwe managed, sio kila taarifa inapaswa kuwa broadcasted, na sio kila uvumi wa mitandao (au mainstream media) lazima ujibiwe. For very obvious reasons, wananchi wanapewa taarifa 'on a need to know basis'..Afterall, Ofisi Ya Rais haifanyi kazi na mitandao ya kijamii,

Kama information wanayoitoa ni sahihi, hakuna shida. Kama wanadanganya, huko ni kupotosha umma ambao umewekeza heavily katika serikali yao. It’s almost an unforgivable sin!
 
Mimi message kubwa niliyoipata baada ya VP Bi. Samia Suluhu Hassan na PM Bw. Majaliwa K. Majaliwa kutoa taarifa zinazokinzana, ni kana kwamba ishu ya Rais John P. Magufuli iko managed na kikundi kingine cha watu....

Na kwa kesi hii, hawa VP na PM wanakuwa hawajui exactly nini kinaendelea japo kikatiba Samia S. Hassan ndiye aliyepaswa kuwa Kaimu Rais kwa kipindi hiki ambacho Rais hayupo/anaumwa...!

Kama hisia zangu hizi ni za kweli, basi kiuhakika kabisa, hii haiko sawa na ni hatari sana kwa taifa letu na hii itakuwa inathibitisha kuwa nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na si ktk misingi ya kisheria na kikatiba...

Na kwa kauli ya PM kule Njombe kwamba aliongea na Rais kwa simu, ni uongo wa mchana kweupe. Huyu alipewa taarifa tu na mtu mwingine na taarifa yenyewe hiyo ikiwa ni ya uongo pia...

Uongo huu umethibitishwa na VP Mama Samia Suluhu akiwa Korogwe, Tanga....

Kuna tatizo kubwa ndani ya serikali hii. There is really a big problem...
 
Mimi message kubwa niliyoipata baada ya VP Bi. Samia Suluhu Hassan na PM Bw. Majaliwa K. Majaliwa kutoa taarifa zinazokinzana, ni kana kwamba ishu ya Rais John P. Magufuli iko managed na kikundi kingine cha watu...
Hakuna tatizo lolote na hisia zako si za ukweli.

Wote hao ulowataja wanazo taarifa kamili na zinawafikia kadri hali inavyoruhusu.

Lakini kwanza chukulia taarifa ya kutoka Namibia ndo ilikuwa mwongozo wa taarifa/kauli zilofuata.

Sisi humu JF na mitandaoni hatuna taarifa zozote zenye uhalisia kwa asilimia 100.

Hivyo, tuepuke uzushi na upindishaji habari.
 
Hey, it’s me, yours truly and back again with another one.

I got a feeling. A feeling deep down in my bones that it’s the end of the road. A big announcement soon to come? Let’s keep it locked and not change that dial and we shall find out. But that’s neither here nor there. So let’s get to it..
Information management is a wide area in terms of government machinery with all its agencies.

There is also knowledge management that what who knows and in what capacity of that knowledge. Knowledge is about experience and context that how you collect data, store or share.

Information management is when you make sure there are no cracks between for part of the knowledge to fall between them.

I feel pity that some people are trying hard to make others believe that some sets of information regardless of social media presence, can still be democratised.

Is it knowledge which need democratisation and not information?

We need to consider more on knowledge because information in some environments has become de-mystifying.
 
This comes down to how to the govt' should communicate with the public during crisis.

What information should be given to the public, when, and how much information.

The most important thing should be telling the TRUTH, even if it means "managing" the truth, or telling it bit by bit.
 
Information management is a wide area in terms of government machinery with all its agencies.

There is also knowledge management that what who knows and in what capacity of that knowledge. Knowledge is about experience and context that how you collect data, store or share...

Wakati wa shambulizi la Tundu Lissu kulikuwa na somo zuri sana la crisis management.

Kulitokea uzushi kuwa Lissu amekufa, lakini uzushi huo ulikanushwa haraka kwa habari kwa kuna mipango ya kumpeleka Nairobi.

Na baada ya muda kweli Lissu alionekana akipakizwa kwenye ndege kwenda Nairobi.

Walipofika Nairobi, kukawa na watoa habari waliokuwa wakitoa update kwamba hali ya mgonjwa ni "critical but stable."

Ukumbuke wakati wanasema yuko "critical but stable" Lissu alikuwa na hali mbaya sana lakini huku nje watu walikuwa wametulia.

Pia ni lazima habari ziwe zinatoka kwa wakati, ili kutowapa nafasi wazushi na wapika habari kufanya mambo yao.
 
People would asked but not For these levels , Leo Radio free Africa Jion walikata matangazo ya DW , walishaanza kusema mzee kapata stroke . now he can't walk

Finally we have to pray for him
Andika hivi: People would have.......... not at this level......
 
.Wakati wa shambulizi la Tundu Lissu kulikuwa na somo zuri sana la crisis management.

Kulitokea uzushi kuwa Lissu amekufa, lakini uzushi huo ulikanushwa haraka kwa habari kwa kuna mipango ya kumpeleka Nairobi..
I thinks the issue suits either side depending on who owns what, where, how and when.

Hakuna crisis maana viongozi wakuu wapo na wana-manage.
 
Back
Top Bottom