Hey, it’s me, yours truly and back again with another one.
I got a feeling. A feeling deep down in my bones that it’s the end of the road. A big announcement soon to come? Let’s keep it locked and not change that dial and we shall find out. But that’s neither here nor there. So let’s get to it...
Nikuulize mkuu ile issue ya Ujerumani kulazwa alipaswa kuanzisha Serikali. Afu punguza sana haya mambo ya Serikali ya CCM. Imeshachaguliwa Ni Serikali and that means Ni yetu sote. Neno dogo tu Serikali ya CCM unapolitumia katika muktadha huu inakutambulisha aina ya mtu na malengo.
Argument yako itakuwa valid tu kama safari Hii ( tofauti na ile ya Ujerumani) habari unayohisi itakuwa ya Kweli. Lakini kwa siku chache hizi Lengo la Mtoa hizi tetesi(kama za Ujerumani) Ni upendo kwa Taasisi, upendo kwa Katiba au nia zake binafsi?
Consider kuwa habari Hii Ni kama ile ya Ujerumani. Je mtu Makini atajibu. So ndo itakuwa kuendeshwa badala ya kuendesha. Je kulikuwa na ratiba muhimu ambayo Kiongozi alipaswa haifuate haijafuata. Je Kuna sahihi ambayo lazima mkuu wa nchi aipige na haijapigwa? Kuna Nini ambacho so abnormal katika ratiba za Kiongozi zimevunjwa, Ratiba ambazo kwazo urais wa JMT unasimama?
Argument yako inabase katika majungu yasiyo ya lazima. Na katika mlolongo huo huo inakuwa rahisi kwako kusoma between the lines maneno ya hotuba ya makamu na waz.m kadiri ya Hiyo baseless allegations and perceptions.
Je ukikaa kimya na ukavuta Subira utakosa Nini. Nimeona Mara nyingi sana hapa JF watu hawapendi kuwa responsible kwa wanayoandika na kusema. Ya Ujerumani haikuwapa muda na kuwafanya muwe waungwana. Umbeya ndo nguzo ya watanzania Lakini utaskia tunafanya brainstorming. Yes Lakini sio katika maisha na heshima ya mtu.
Hakuna chochote ambacho Rais wa JMT alipaswa kukitimiza mbele ya umati wa watu, na ambacho kwa kutokifanya kwake yeye katika sita na umbo lake, jambo ambalo Kwalo Taifa ( na katiba haliruhusu makamu alifanye) linaathirika. Kwa Hilo Serikali Ina haki ya kukaa kimya.
Pamoja na kwamba unavutika na majungu. Lakini kama habari Hii Ni ya kweli argument yako itakuwa na mashiko. Ingawa swali langu siku Zote nia hasa Ni Nini. Ladha ya majungu au Brainstorming.
Tanzania kwanza. Tuwaheshimu viongozi wetu na nchi yetu. Hakuna mahali utaheshimika kwa kusema ya kwenu. Utaona makofi Lakini ukitoka wanakuona huna thamani.