Information Management = better crisis management

Ni matumaini yangu pia.

Watu watumie akili kuliko mabavu.

Regimen ya cancer ni ngumu, ndugu yangu. Let’s face it, Tanzania ilikuwa na cancer (na bado ina cancer). Inauma sana kwamba 1% ya Watanzania ndiyo walikuwa wanafaidi cake ya taifa huku wengine waliobaki (99%) wakiishi (for too long) kwa kutegemea trickle-down economics.

Approach ya JPM (RIP) ndiyo regimen sahihi kwa ugonjwa wa hii nchi! Natumaini hatokei mtu wa kuuzima moto aliouwasha na kutusababishia relapse (kuturudisha shimoni)!
 
Back
Top Bottom