Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt


samahani mkuu, ni nchi gani ambayo ukila chips unaonekana maskini wa kutupwa?
 

Safi sana.
 
Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri

Kama Vijana wasipoilinda nchi yao, nani atawalindia?!

Mtu asiudharau ujana wako...
 

kaka haun taarifa za kutosha kuhusu jeshi
ila ni taasis iliyokamilik na ina taarum zote. sio kil mjeshi ni muuaj or kafundishwa kuua wengine wap kwa jili ya kuokoa maisha mfn madaktar wa jeshini..kwend jeshini ni interest za mtu mwingne anpend hizo mambo tu. kun watu wamekataa ofa ya kazi coz wanataka jeshi.JAMBO AFANDE.WAZI!!!
 

ANGALIZO;
Kabla ya kwenda kujiunga na JKT,jitathimini,jikague je kweli una dhamira ya kujiunga na vyombo vya ulinzi vya ndani nchi kama ndio nakushauri nenda lakini usijiunge na vyombo vya ulinzi kwa kumuona fulani ana maisha mazuri au anapata mshahara mnene,utaumia bure mafanikio ndani ya vyombo vya ulinzi huja baada ya msoto mkali hata kama utaanza na nyota,JESHI NI JESHI tu Liwe la police,magereza au la wananchi.Kazi za uzalendo mafanikio yake huja baadae ni vyema ukajipima kwa moyo wa dhati kabisa,nina ushahidi wa wanajeshi walioanza na nyota na walipelekwa kongo wengine walikimbia wengine wamekamatwa wanatumikia vifungo vya jeshi.Jeshi si lele mama,Nenda jeshi kama una dhamira ya kuwa mwanajeshi na mzalendo ila usiende jeshi kwa imani ya kuwa na maisha bora.

JESHINI KUNA RAHA NA KARAHA,
 

sasa zubedayo vipi vyanzo vyako ww vinasemaje... ni kweli nafasi zinakarbia kutoka
 

We Na faza ako wote ni Wala urojo,
 

Tangazo Lipo katika Web ya JKT, mpango mzima mwezi wa januari 2014, Fuata Link hii:-
vijana kujitolea
 
Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri

kijana usiwe na fikra mbovu juu ya jeshi.. hivi unadhani jeshi likiendeshwa na watu ambao ni uneducated kwa zama hizi hali itakuwaje?

hivi tatizo lako hasa ni lipi?

hivi unajua kwanini adolph hitler alisababisha vita kuu ya pili ya dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…