Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Hivi WoS na NN mna nini kati yenu?
Mbona kama . . . . mada fulani fulani mnawindana sana? Ama?
Hamna bana.....mimi nimeuliza tu swali.
Hivi WoS na NN mna nini kati yenu?
Mbona kama . . . . mada fulani fulani mnawindana sana? Ama?
Hata mi sijui bana... imefikia mahali nikikatiza nikimuona huyu ndugu hata kwa mbali nataka kukatiza barabara tusikutane lakini kiwanja chenyewe kidogo hakuna jinsi .Itabidi tupigane vikumbo tu ivo ivo.Hivi WoS na NN mna nini kati yenu?
Mbona kama . . . . mada fulani fulani mnawindana sana? Ama?
achana na ngabu hana adabu...mie na wewe damu damu..Hata mi sijui bana... imefikia mahali nikikatiza nikimuona huyu ndugu hata kwa mbali nataka kukatiza barabara tusikutane lakini kiwanja chenyewe kidogo hakuna jinsi .Itabidi tupigane vikumbo tu ivo ivo.
Hata mi sijui bana... imefikia mahali nikikatiza nikimuona huyu ndugu hata kwa mbali nataka kukatiza barabara tusikutane lakini kiwanja chenyewe kidogo hakuna jinsi .Itabidi tupigane vikumbo tu ivo ivo.
Ooooh come on WoS...it's like that now?
NN u r very unpredictable.Hata mtu ajitahidi vipi hukawii kubadilika kama chameleon.Hebu badilika basi bana watu wajisikie huru na wawe na amani!
Amani ni kitu kizuri au wewe unasemaje?
WoS..I'm a new person...can't you tell? I've been making an effort to reach out to you...and be nice and cordial to you....
It's a new day and I love peace.....
If u mean it..itakuwa poa sana.
Hebu fanana na hiyo Avatar yako basi jamani - the Epitome of innocence!
THAT BOY IN UR AVATAR kama unafanana hivyo basi umekuwa humtendei haki.Tell the truth WoS....I'm handsome...ain't I?..Lol...
THAT BOY IN UR AVATAR kama unafanana hivyo basi umekuwa humtendei haki.
kama hizo ni mzozo kuzivaa.....na jamaa wako aan aleji na za kiume mna ji protect vipi?WOS
Asante kwa hili somo ila naona hizi kondomu za kike kwa maumbile yetu ni kazi sana kuzitumia. Yaani jinsi ya kuzipachika tu ni shughuli.
Hivi hizo pepeta zinanunuliwa kweli?
WOS
Asante kwa hili somo ila naona hizi kondomu za kike kwa maumbile yetu ni kazi sana kuzitumia. Yaani jinsi ya kuzipachika tu ni shughuli.
Hivi hizo pepeta zinanunuliwa kweli?
Umesema kitu mtu wangu.kama hizo ni mzozo kuzivaa.....na jamaa wako aan aleji na za kiume mna ji protect vipi?
alafu sijaona wanawake wakilipigia kelele hili la ndomu zao kuwa kikwazo wakati wa kujaamiana......
kama hizo ni mzozo kuzivaa.....na jamaa wako aan aleji na za kiume mna ji protect vipi?alafu sijaona wanawake wakilipigia kelele hili la ndomu zao kuwa kikwazo wakati wa kujaamiana......
BJ,
Ni kweli..si unajua tena linapokuja swali la vifaa vya wanawake inakuwaga shughuli..hivi ni kwamba hakuna wanawake wengi kwenye R&D hadi washindwe kutengeneza kitu murua kinachomfaa mwanamke?!sijui aisee.
Hizo pepeta sijui kama zinanunuliwa ila najua zinasambazwa sana kwenye maofisi hasa ya kimataifa - ukienda washrooms utazikuta tele... kama wanawake wanazichukua kutumia, hiyo ni ishu nyingine.
Jamani kuuliza si ushamba. Je mwanamme anaweza kununua hiyo condom na kula nayo uroda bila mwanamke?
Jamani kuuliza si ushamba. Je mwanamme anaweza kununua hiyo condom na kula nayo uroda bila mwanamke?