WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
JF Members,
We all know that there is a lot of publicity regarding the male condom, yet no similar initiatives to promote the female condom which is an important prevention tool for HIV and other sexually transmitted infections as well as unplanned pregnancy.
The female condom is critical as a woman-controlled method which offers women the power to take control over their protection. Note that the polyurethane material from which female condoms are made has additional benefits in comparison to latex rubber from which most locally available male condoms are made:
1. Polyurethane plastic does not have the potential to provoke allergic reactions as does latex rubber.
2. Polyurethane plastic is a better conductor of heat than latex rubber.
3. Polyurethane plastic is more resilient than latex rubber thus does not rupture easily.
In Tz there are brands such as "Care" and "Lady Pepeta" which are readily available.Im not sure about use of this condom by women or if men support women in using this protective thingy!
Can we have testimonies regarding use of the female condom?

mi ningeshauri mara nyingi iwezekanavyo hizi mada ziwekwe katika lugha inayoeleweka zaidi. hata kama makala imetolewa kwenye tovuti flani basi ibadilishe. wakati mwingine 'engrish' is not richabo for some, pia kinachosha kusoma
JF Members,
1. Polyurethane plastic does not have the potential to provoke allergic reactions as does latex rubber.
2. Polyurethane plastic is a better conductor of heat than latex rubber.
3. Polyurethane plastic is more resilient than latex rubber thus does not rupture easily.
WoSUmeongea kitu cha maana sana likini implementation yake kwa kweli katika mazingira ninayo yaona imekuwa ngumu sana .kuna wakati hawa tunawaita waeleimisha rika alikuja tunapo fanyia kazi .akaanza ku preach about condom za kiume na za kike .Well alikuwa anaeleza vizuri sana .kwenye za kiume na matumizi na alionekana muelewa ..kwa bahati mbaya alikuwa ni mdada akakutana na mie wa kiume..Alipofika kwenye swala la condom za kike alieleza na nikajaribu kuumuuliza deep inside katika mahusiano yake je anatumia condom za kike?Sure enough alisema hajawahi tumia.Simply kwa kuwa kwanza uvaaji na mgumu,hata maelekezo ya very complicated.Hata hawa wadada wanao jiuza I though wangekuwa wanazitumia kwa nguvu zote lakini wao wananunua za kiume na kuwa nazo stand by.Sina tatizo na mwanamke kuvaa condom za kike .ila sijawahi hata kuona mmoja kajaribu gusia kuhusu hilo.WoS unaweza toa maelezo zaidi na ziadi kuhusu condom za kike..hapo umegusia tu..
Mkuu Buswelu na wengine mliouliza maswali kuhusu condom ya kike,
Naomba niwajibu machache kama ifuatayo:
1. Condom ya kike haijazoeleka sana kama ile ya kiume kwa sababu pamoja na sababu nyingine, ya kike haijafanyiwa uhamasishaji sana kama ya kiume na hata upatikanaji wake ulikuwa wa shida ( gharama pia) hadi hapa miaka ya karibuni sana - sidhani inazidi miaka 3 ambapo tunaziona kwa wingi zaidi.
2. Condom ya kike inavaliwa ndani kwenye sehemu nyeti ya mwanamke ( mnisamehe kwa lugha hii..ashakum si matusi - tunaelimishana), wakati ile ya kiume inavaliwa kwa nje na mwanaume na ni rahisi kuvaa/kuvalishwa kuliko ile ya kike.
3. Pamoja na kuwepo kwa kinga hii, bado imekuwa kazi sana kufanya watu wote wanaume na hata wanawake wenyewe waikubali kama njia nzuri ya kuzuia siyo maambukizi ya virusi vya UKIMWI tu, bali hata mimba na magonjwa ya zinaa.Hii inatokana na jinsi inavyoonekana - ina ring mbili - ndogo sehemu ya kuingizia na kubwa sehemu inayobaki nje.Na uvaaji wake inabidi uikunje/kuizungusha kwenye umbo la namba 8 iliiweze kuingia vizuri na ring hizo mbili zikae inapotakiwa/inavyotakiwa.
4. Mafunzo ya kutumia condom ya kiume ni rahisi zaidi kuyatoa kuliko yale ya kike kwa sababu ya maumbile - ya mwanamke yako ndani wakati ya mwanaume yako nje na ni rahisi kutumia nyenzo za kufundishia for demonstration.
5. Utayari wa kuitumia nao ni mgumu - wanawake wengi wakiiona ilivyo haiwavutii kujaribu kuitumia na kwa wanaume ndiyo kabisaaaaaa hawaikubali japo ina advantages zaidi kuliko ile ya kiume ikiwa ni pamoja na kujisikia vizuri zaidi.
Mkuu asante kwa shule nzuri, hata hivo mkuu mi sijawahi iona hiyo ya ma she, pia kaswali kadogo, je mwana mama anaweza jivalisha mwenyewe kirahisi tu?, nijuavyo ni laini hiyo mipira, sasa inawezaje kuingizwa huko ndani, I mean uimara'stiffness' ili iweze ingizwa? yaani sijapata picha, sorry, itabidi pia nifanye sehemu yangu ya kuitafuta na kuiona!
Rwabugiri, kuuliza ndio mwanzo wa kujua.
1.Bahati mbaya sina picha hapa..labda kama kuna mwanachama mwenye nayo anaweza kukubandikia ukaiona.
2.Ndiyo, hiyo huvaliwa na mwanamke mwenyewe maana kama ni kuvalishwa na mume/mpenzi mbona itakuwa shughuli!Anaivaa kwa kuchuchumaa, kulala chali n.k mradi apate wepesi wa kuiweka inavyotakiwa.
kwanza muonekano wake ni utata.....pili uvaaji wake utata pia......lazima mwanamama apige sarakasi kuivaa sasa kama wote wawili mna maugwadu ya miezi kadhaa aaah haitavalika1.Bahati mbaya sina picha hapa..labda kama kuna mwanachama mwenye nayo anaweza kukubandikia ukaiona.
2.Ndiyo, hiyo huvaliwa na mwanamke mwenyewe maana kama ni kuvalishwa na mume/mpenzi mbona itakuwa shughuli!Anaivaa kwa kuchuchumaa, kulala chali n.k mradi apate wepesi wa kuiweka inavyotakiwa.
Ndugu,Hey WoS, umeshawahi kuitumia hiyo ndomu?
Ndugu,
sasa hata nikikuambia ndio au hapana halafu iweje?
Ndugu,
sasa hata nikikuambia ndio au hapana halafu iweje?