Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.
.. Jerrymsigwa kweli kabisa unakuta tuna gawana kwa ajili ya ukabila hadi kuwana.
 
Last edited by a moderator:
Tweve vs Massawe

Mchagaa afadhari sana, na mabaya yake kama vile uhalifu na ukatili.
Mkinga mshirikina sana. Utasuikia mkinga anamfanya mtoto wake taahira, au kumuua, au ameumuua mke wake, au ana hela na sifa kubwa ya utajiri lakini anaishi kimaskini....halafu kwa mkinga elimu haina maana ikilingaishwa na mchaga.
 

Maendeleo vijijini uchagani kwa kiasi kikubwa yamepelekwa na viongozi kwa sababu ya ubinafsi wao. Wewe hushangai vijijini uchagani kuna barabara za lami wakati hakukuwa na barabara ya lami kuunganisha Dar na Lindi au Arusha na Iringa au Mbeya na Sumbawanga?
 

...sijaona Kabila lenye watu WAAMINIFU sana kama WACHAGGA.
Nadhani hata wakinga watakua sio wachawi , vifo vinavyotokea vitapungua kwa kadiri elimu inavyoongezeka kufuatia kasi ya ukuaji wa uchumi kwa Kabila hili.
 
...sijaona Kabila lenye watu WAAMINIFU sana kama WACHAGGA.
Nadhani hata wakinga watakua sio wachawi , vifo vinavyotokea vitapungua kwa kadiri elimu inavyoongezeka kufuatia kasi ya ukuaji wa uchumi kwa Kabila hili.

Acha kujipigia promo mchaga hana uaminifu hata kidogo.
 
Hakuna wa kumkaribia Mchagga kwa maendeleo..

Mkuu hii ni theory tumekua nayo kwa miaka mingi. Kwa sasa makabila kadhaa yanakuja kwa kasi. Wakinga ni mojawapo. Fika Kariakoo uone wakinga wanavyo nunua nyumba za wwnyeji na kujenga maghorofa ya biashara. Wachaga wengi wanahama kariakoo. Wahindi na waharabu wamesahaulika. Kwa sasa washindani labda ni wachina na wakinga pale kariakoo.
 
Wakinga tunakuja pisha njia iwe kwa unavofikiria wewe vyovyote vile ndo tunakuja kwa kasi sana nenda kariakoo ukawaone wakinga wakinga oyee
 

huo ndo ukweli
 

Hivi wasukuma wamefikia wapi kukata viganja albino? Hawa wasukuma hao wanailetea Tanzania aibu kubwa sana kimataifa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…