Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Nakushauri kwanza nenda kapande Mlima Kilimanjaro pitia Himo- Marangu halafu kashukie Machame au Rombo baadaye uende Irunga ukapande milima ya huko utakuja na jibu ni nani kati yao unayemtakaha ha ha...kuna msukuma mmoja pale arusha anaitwa Sunda..kapiga mgorofa wa maana..
na majengo mengi mazur pale mwanza yanamilikiwa na Wachagga wa Machame.
Unaota jamaa
Mkinga anakimbiza Kariakoo acha babaangu wachaga wote wameufyata Yesu na Maria.
Utasubiri Sana.. Yaani wale wauza mayai wakurya wa Kitunda waje kujenga ghorofa kama MIC hotel au Wanyama hotel au Kingsway hotel ya Morogoro!! Au wanyantuzu wanaonenepesha ng'ombe waje kupiga maghorofa marefu mjini,,, bado Sana
haoti mkuu, huo ndiyo ukweli!!
Nenda Capri point ulizia utaambiwa,..
Wakuu,
kuna jambo moja hapa, juu ya uwepo wa wachagga katika jiji la dar es salaam.
Inaaminika dhahiri kuwa jiji hili limekuwa sana
na moja ya kukuwa kwa jiji hili ni biashara na mapana yake..
Now days kuna kabila moja linalokuja vizuri sana
kwenye sekta ya biashara hawa Wakinga, kiukweli wameanza kusikika hivi karibuni na ukuaji wa jiji umeongezeka sana..
Is it true that Kinga's wana influence kubwa kibiashara jijini dar zaidi ya wachagga? walioanza biashara zamani zaidi?
na majengo mengi mazur pale mwanza yanamilikiwa na wachagga wa machame.
huyu jamaa inaelekea ametokea kwenye inferior tribe ndo mana hajiamini
Tatizo la watanzania ni uvuvi na kuogopa kujitoa mhanga unapotaka kufanya kitu.... tofauti kati na Wakinga na Wachagga na makabila Mengine.. utabaki kuamini kuwa ni uchawi na ujambazi... watu wanapiga hela mjini.
kumbuka Wakinga wanatoka kawilaya kamoja tu Makete Vs WAchaga almost mkoa mzima wa Kilimanjaro ingekuwa ni kinyume chake basi ingekuwa balaa
Jaribu kuchunguza jinsi wanavyo anza kufanya biashara na hustle wanazopitia utagundua naamanisha nini...
Kama ni Uchawi Basi Watu wa Sumbawanga Ambako mnamininishwa kuna uchawi wa hali ya juuu wangekuwa list ya juu kwenye FORBES MAGAZINE
Acha dharau wewe bw*ge eti kawilaya kamoja, unajua ukubwa wa hako kawilaya au unaropoka tu. Mkoa wa kilimanjaro mkubwa? Kilimanjaro my ass
atakuwa mturukana (wale wanaotembea uchi) au mkamba (washirikina maarufu afrika mashariki)
Kijana mbona matusi mengi... kwanza hujaelewa nilicholenga kusema ..... soma vizuri na kutafakari nilimaanisha nini ungekuwa mtihani basi hapo ni zero....Acha dharau wewe bw*ge eti kawilaya kamoja, unajua ukubwa wa hako kawilaya au unaropoka tu. Mkoa wa kilimanjaro mkubwa? Kilimanjaro my ass