Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,295
Reaction score
17,790
Wakuu,
kuna jambo moja hapa, juu ya uwepo wa wachagga katika jiji la dar es salaam.

Inaaminika dhahiri kuwa jiji hili limekuwa sana
na moja ya kukuwa kwa jiji hili ni biashara na mapana yake..

Now days kuna kabila moja linalokuja vizuri sana
kwenye sekta ya biashara hawa Wakinga, kiukweli wameanza kusikika hivi karibuni na ukuaji wa jiji umeongezeka sana..

Is it true that Kinga's wana influence kubwa kibiashara jijini dar zaidi ya wachagga? walioanza biashara zamani zaidi?
 
mbona umewasahau waarabu, wapemba, wahindi? au wao si wafanyabiashara?

hao walikuwepo tokea mwanzo, na sidhani kama wana michango ya moja kwa moja, ikumbukwe wao kazi yao ni kukodisha apartment na kufanya biashara.
tuzungumzie hawa wazawa wanaoshiriki moja kwa moja kwenye kuujenga mji...
 
wakinga what a hell....taja wachina ,waarabu na wahindi achana na hao wala mtori na wala mbwa
 
Wakuu,
kuna jambo moja hapa, juu ya uwepo wa wachagga katika jiji la dar es salaam.

Inaaminika dhahiri kuwa jiji hili limekuwa sana
na moja ya kukuwa kwa jiji hili ni biashara na mapana yake..

Now days kuna kabila moja linalokuja vizuri sana
kwenye sekta ya biashara hawa Wakinga, kiukweli wameanza kusikika hivi karibuni na ukuaji wa jiji umeongezeka sana..

Is it true that Kinga's wana influence kubwa kibiashara jijini dar zaidi ya wachagga? walioanza biashara zamani zaidi?

ukabila.com
 
sitakupa analysis yyt mpaka nione hata kabila moja kutoka kanda ya ziwa.

Utasubiri Sana.. Yaani wale wauza mayai wakurya wa Kitunda waje kujenga ghorofa kama MIC hotel au Wanyama hotel au Kingsway hotel ya Morogoro!! Au wanyantuzu wanaonenepesha ng'ombe waje kupiga maghorofa marefu mjini,,, bado Sana
 
ha ha ha...kuna msukuma mmoja pale arusha anaitwa Sunda..kapiga mgorofa wa maana..
 
hao walikuwepo tokea
mwanzo, na sidhani kama wana michango ya moja kwa moja, ikumbukwe wao
kazi yao ni kukodisha apartment na kufanya biashara.
tuzungumzie hawa wazawa wanaoshiriki moja kwa moja kwenye kuujenga
mji...

hata hao wanaujenga mji mkuu na kodi wanalipa we sema tu unataka kujua kati ya chagga na hao sijui wanani nani yupo juu
 
Mkuu kiwatengu wakinga kwa sasa wapo juu sana kariakoo, mpaka wachagga wanawakimbia kwa madai eti wanatumia dawa asili kufanya biashara, utawahurumia.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom