Hillo ndio tatizo
Fata huu ushauri wangu mkuu nimetumia hiyo simu kwa muda wa miezi miwili na Mimi nilinunua mpya tatizo lilikuwa Ni hilo hilo na nilikuwa natatua kwa njia hiyoHili Ni tatizo dogo kwa simu za infinix fanya hivi Kama umeweka protector basi chukua kijiti kidogo Kama stick zile tunazotumia kusafisha meno ukila nyama safisha ile sehemu ya juu ya sensor ya simu Wenda inaweza ikawa na uchafu kidogo