Sio kweli.Ukizaliwa mahali sheria ya kuzaliwa inakutambua kuwa wewe ni raia wa hapo hadi uje ukana uraia mwenyewe.Wahindi na waarabu ni waafrika sababu walizaliwa Africa na hawajaukana uraia wa Africa.Makaburu walipiga kelele sana kuhusu hili wamegoma kata kata popote waendapo wao hujitambulisha kama waafrika,Bara la africa lina waafrika weusi,waarabu kama hao wa misrui,tunisia,moroco.libya nk na hawa wa Tanzania waarabu,pia Africa ina wahindi kama wa mauritius .madagascar na hawa wahindi wetu wa tanzania pia Africa ina wareno wako mozambique,angola na hata wengine wako mtwara,Africa ina wachina mfano zanzibar wapo,africa ina wagiriki na ina wazungu wengi mfano Africa kusini.
kUHUSU HIZO INDIAN schools hizo hazina tofauti na Christian schools,Muslim schools ambako mtaala wake pamoja na masomo mengine huwa na masomo ya dini ya kiislamu au kikiristo ukitaka kwenda shule hizo uwe tayari kuyasoma na kuishi kikikrsto au kiislamu wapokea mtu yeyote ndivyo ilivyo kwa french schoools nk Hizo indian schoools ni shule za kimataifa ambazo pamoja na masomo mengine ujiandae kusoma kidini ya kihindu,kusoma kihindi na maandishi yao ya kihindi na kuishi kwa mila za kihindu .