Indian School Dar es Salaam

Indian School Dar es Salaam

Young AFRICAN sio jina la kibaguzi. Wahindi, Wazungu, Waarabu, nk wanaweza kuwa Africans.

Watanzania wa makabila yote (pamoja na Wahindi raia) ni Africans.
Na mwafrika aliyezaliwa na kukulia India hawezi kuwa Indian? Basing on your theory the answer is yes! Verdict: Jina sio la kibaguzi. BTW Nimeona mpaka shule zinazoitwa American school huko Ulaya.
 
Bora Wazungu wamebadilka na wanaendlea kubadlka lakin hii mijitu yakiarabu na kihind hayabadilk Angalia mpaka Leo yanauza watu kule Libya
 
wahindi ni wanaguzi acha kama hujawahi fanya nao kaz ukajionea unaweza kuwatetea yaan wanatuona kama mbwa tu mbele yao. ukiona anakuthamini mtu nweusi ujue kuna maslahi fulani anapata toka kwako ila sio toka moyoni anakuheshim
 
Weee!acha kabisa mzungu ni habari nyengine kabisa kwenye suala la ubaguzi

Kwa kuzingatia historia ikiwemo ya maswala ya utumwa na ukoloni , Mzungu ana afadhali kubwa mara dufu kuliko mwarabu na hao wengine!
 
Wahindi na Waarabu ni watu wabaguzi siku zote katika dunia hii.

Kuna shule kadhaa zenye majina ya kiingereza lakini wanafunzi WOTE yaani 100% ni wahindi tu.

Hizi shule zipo Nairobi, Dsm na Arusha.

Hata kama mzazi mweusi ana uwezo kiasi gani mwanae hataweza kujoin hizi shule.

Ninachojiuliza : ikiwa wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na sio kihindi...ni kwanini hawawasajili watoto weusi?
Kama wewe ni mwafrika mwenzagu unatamani mwanao akashriki darasa na wahindi ili iweje?, unataka upate mjukuu chotara? wakihindi?

Hata kama wanafundisha kihindi, mwnao aweza jifunza kama tunavyosoma kifaransa na kileno: unafikiri kihindi kitakulipa?

Napita tu
 
Mwenzagu= Mwenzangu
Kileno = Kireno

Hakuna mahali nilipoandika kuwa nataka mwanangu akajifunze lugha ya kihindi.

Soma nilichochangia.
 
Kwa kuzingatia historia ikiwemo ya maswala ya utumwa na ukoloni , Mzungu ana afadhali kubwa mara dufu kuliko mwarabu na hao wengine!
Mzungu sio Mbaguzi.

Mwafrika ana ubaguzi zaidi kuliko mzungu.
 
Unafanya mchezo na wahindi nini? Wahindi ndio mababa wa ubaguzi duniani kokote utakapoenda ktk Dunia hii utakuta wamejitenga kwenye makazi shule na kila Kitu ni watu wa ajabu sana ila hapa kwetu wAmedekezwa sana.
 
Young AFRICAN sio jina la kibaguzi. Wahindi, Wazungu, Waarabu, nk wanaweza kuwa Africans.

Watanzania wa makabila yote (pamoja na Wahindi raia) ni Africans.
Hebu elezea kdg, wahindi kuwa Africans. Kwahiyo kuna waafrika ambao ni Indians?
 
Hebu elezea kdg, wahindi kuwa Africans. Kwahiyo kuna waafrika ambao ni Indians?
Kwa ajili ya ubaguzi wa kihindi hutaona weusi kutoka bara la Afrika kukimbilia kulowea India.

Lakini kuna weusi watokao Afrika ambao ni:
[emoji830]British
[emoji830]Germans
[emoji830]French
[emoji830]Americans

Hivi hujui Wahindi karibuni wote Tanzania ni waTanzania, na Kenya ni waKenya?

Sasa kama mtu ni mTanzania je huyo sio muAfrika?

Uafrika sio sawa na weusi.
 
Wahindi na Waarabu ni watu wabaguzi siku zote katika dunia hii.

Kuna shule kadhaa zenye majina ya kiingereza lakini wanafunzi WOTE yaani 100% ni wahindi tu.

Hizi shule zipo Nairobi, Dsm na Arusha.

Hata kama mzazi mweusi ana uwezo kiasi gani mwanae hataweza kujoin hizi shule.

Ninachojiuliza : ikiwa wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na sio kihindi...ni kwanini hawawasajili watoto weusi?
Mkuu dawa ya ubaguzi sio kulazimisha kupenya kwenye vitu vya watu wengine ambavyo wameweka kwa jasho lao, dawa ya ubaguzi ni kujenga vyetu vyenye ubora sawa au zaidi yao ili wao ndo watamani kuja kwenye shule zetu na sisi tugome. kwa style hiyo tutaheshimiana

Tatizo la sisi waafrika sio watendaji, tunataka wengine wafanye sisi tuje kula tu na wakibana tunaanza kulia lia, kwa mwendo huu ubaguzi hauwezi kuisha.

Ni lazima tuchukue hatua ya kuwa watendaji na tujenge taasisi zenye ubora Kama tunataka kweli kwenda sawa na wengine na kutokomeza ubaguzi sio kulialia mbeleko za wengine.
 
Back
Top Bottom