Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,039
- 659
Indian School ni shule iliyopo jiji Dar es Salaam. Sina uhakika wanatumia mtalaa upi kufundisha. Lakini kilichonigusa ni hili jina tu, mimi naona linaviashiria vya ubaguzi. Ni shule imeanzishwa miaka kadhaa iliyopita. Najiuliza Wasajiri waliwezaje kuruhuhusu jina la namna hii?