JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Waafrika wanabaguana ili kum-favour Mzungu na mwarabu.Mzungu sio Mbaguzi.
Mwafrika ana ubaguzi zaidi kuliko mzungu.
Waafrika wanabaguana ili kum-favour Mzungu na mwarabu.Mzungu sio Mbaguzi.
Mwafrika ana ubaguzi zaidi kuliko mzungu.
Kwanza huwezi ku-categorise wazungu wote sababu kuna nchi na nchi na kuna nchi tamaduni zao hutofautiana na nchi zingine mfano leo hii urusi hawataki uingiliano wa utamaduni na hawapendi foreigners hapa nazungumzia wananchi na csses zipo nyingine ,ujerumani na Italy hate crimes nyingi zinaripotiwa na hio hate crime ni racism ila wanairemba tuHebu tupe scenario kadhaa zinazothibitisha ubaguzi wa wazungu kwa waafrika kwa sikuhizi za sasa na si zamani.
Hebu tupe scenario kadhaa zinazothibitisha ubaguzi wa wazungu kwa waafrika kwa sikuhizi za sasa na si zamani.
nahisi wanafundisha pia kihindi ndio maana wameandika hivyo. si uwa unaona wahindi wengine hawajawahi hata kufika india, wazazi wao na mababu wamezaliwa hapa lakini wanachapa kihindi kwenye yale maduka yao? ni lugha zao za kibiashara. kwanza elimu yao huwa ya kawaida au ya chini tu tofauti na hata hizo st. somebody zetu, waache wafanya wanayotaka hawana madhara hao.Wahindi na Waarabu ni watu wabaguzi siku zote katika dunia hii.
Kuna shule kadhaa zenye majina ya kiingereza lakini wanafunzi WOTE yaani 100% ni wahindi tu.
Hizi shule zipo Nairobi, Dsm na Arusha.
Hata kama mzazi mweusi ana uwezo kiasi gani mwanae hataweza kujoin hizi shule.
Ninachojiuliza : ikiwa wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia na sio kihindi...ni kwanini hawawasajili watoto weusi?