India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

🔹 Kuandika herufi kubwa au ku bold ni ishara ya kupayuka au pumba

🔹Jiulize kwa nini Ulaya ni ruksa kujenga misikiti , kuhubiri uislam na hawajali MKRISTU akisilimu

🔹 Kwa nini nchi zs kiarabu ni kosa la jinsi kujenga kanisa, kuhubiri ukristu, kuvaa msalaba au kubeba biblia? Ni nani mwenye chuki na mwenzake?

Wewe kweli bado ni kijana wa sunday school , hivi huelewi uarabuni kuna Wakristo kwa mamilioni na kuna makanisa yao ??

Unafikiri huko ulaya ni rahisi hivyo kujenga msikiti ?? Kakudanganya nani ??

Misikiti mingi ni makanisa yanauzwa kwa kukosa wateja na kushindwa kuyahudumia majengo na ndio waislamu wanayanunua na kuyafanya misikiti. Makanisa mengine yamegeuzwa baa , Wazungu wameushtukia ukristo kuwa ni utapeli wanayahama makanisa
 
Hadithi hizo kamsomee bibi yako kanisani
1000028023.jpg
 
Hata Yesu aliambiwa alikuwa anatembea na change dos Mary Magdalena na akipakwa mafuta kwa nywele Zake, Roho Mtakatifu wako amekuwa anakuongoza kwenye mipasho tu 😝😝😝
Aliambiwa lakini hakuna uthibitisho kutoka kwenye kifungu chochote cha biblia
Ila mudi kunyonya dhakari iko kwenye quran yenu hadith number 16245
 
Za mudi na maswahaba wake huzitaki?
Roho Mtakatifu wako Hana jipya anawaongoza huko tu , Soma kwenye hii thread mliyaleta na mkajibiwa yote

Aliambiwa lakini hakuna uthibitisho kutoka kwenye kifungu chochote cha biblia
Ila mudi kunyonya dhakari iko kwenye quran yenu hadith number 16245
Quran hadithi 16245 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😝😝😝😝😝😝
 
Nchi gani ya kiislamu mkristo anateswa?
vaa rozar saudia ikionekana umeenda na maji yaani kiufupi usionyeshe chochote cha imani yako hadharani hata kama una bible we ifiche tu kwa usalama wako japo mnaruhususiwa kuabudu ila kwa lujificha pinga
 
Hawajaficha hiyo ni sheria yao Kama vile Singapore ukitema mate ovyo unakamatwa fine dollar 600 , au ukila Ramadhani Zanzibar unakamatwa unapelekwa rumande mpaka Ramadhani iishe , Sasa unataka kumlazimisha kitu gani ??
 
Mkuu hujui kua wakirsto na wayahudi wanamuabudu mungi wa kiyahudi aitwae Yehova.....!!!
Hata iweje wakrsto.....lazima wawaunge mkono wayahudi sababu dini yao imetokana na wayahudi.
Wakristo na waarabu na dini ya kiarabu na mungu wa kiarabu allah...ni vitu viwili tofauti mkuu.
Kwa waislamu mkrsto ni kafri
Kwa wakrsto muislamu ni kafri
😂🤣🤣🤣🤣🤣
wewe ndiyo unaamini hivyo lakini kiuhalisia Yahudi hana ushirikiano kabisa na mkristo, lakini mkristo ndiyo anajipendekeza kwake.
 
🔹 Kuandika herufi kubwa au ku bold ni ishara ya kupayuka au pumba

🔹Jiulize kwa nini Ulaya ni ruksa kujenga misikiti , kuhubiri uislam na hawajali MKRISTU akisilimu

🔹 Kwa nini nchi zs kiarabu ni kosa la jinsi kujenga kanisa, kuhubiri ukristu, kuvaa msalaba au kubeba biblia? Ni nani mwenye chuki na mwenzake?
Huwezi kunipangia niandike kwa herufi gani nina haki ya kuandika nitakavyo.
ULAYA ISLAMAPHOBIA IPO SANA sema imefichwa kama unataka ushahidi nikuletee kesi za Islamaphobia nchi za Ulaya??
Pia jamaa yako nimemuuliza je Pemba nzima hakuna makanisa??
Hata wewe unaweza kujibu.
Nchi za kiarabu kuna uhuru wa kuabudu hadi Iran upo uhuru wa kuabudu labda kama umesoma article za propaganda.
Halafu unaonekana mweupe kichwani uje kwa adabu sio kwa kukurupuka.
 
Hawajaficha hiyo ni sheria yao Kama vile Singapore ukitema mate ovyo unakamatwa fine dollar 600 , au ukila Ramadhani Zanzibar unakamatwa unapelekwa rumande mpaka Ramadhani iishe , Sasa unataka kumlazimisha kitu gani ??
Sijawahi ona post zako sinahusu siasa,michezo ,uchumi na mambo ya kawaida ya kijamii ila ni malumbano ya kindii tu why!
 
Kwamba hapa ni uongo bwana vagina?View attachment 2940764

CNN in the Garden of Gethsemane?

Is it unreasonable to ask just who recorded not only one of the last prayers of the godman but also the last occasion when the "living" superhero was with his acolytes? The only possible witnesses were asleep.

'And he said, "Abba, Father, all things are possible unto thee; take away this cup from me: nevertheless not what I will, but what thou wilt."
And he cometh, and findeth them sleeping, and saith unto Peter, "Simon, sleepest thou? Couldest not thou watch one hour?
Watch ye and pray, lest ye enter into temptation. The spirit truly is ready, but the flesh is weak.
"
And again he went away, and prayed, and spake the same words.
And when he returned, he found them asleep again, (for their eyes were heavy,) neither wist they what to answer him.
And he cometh the third time, and saith unto them, "Sleep on now, and take your rest: it is enough, the hour is come; behold, the Son of man is betrayed into the hands of sinners."

Mark 14.36,41 (Matthew's version is almost identical, Luke has a shortened version and John omits the scene entirely.)

But of course as sacred theatre – a fabula praetexta – such paramulations back and forth and rhetorical declamations to an audience are precisely what we would expect.
 
Huwezi kunipangia niandike kwa herufi gani nina haki ya kuandika nitakavyo.
ULAYA ISLAMAPHOBIA IPO SANA sema imefichwa kama unataka ushahidi nikuletee kesi za Islamaphobia nchi za Ulaya??
Pia jamaa yako nimemuuliza je Pemba nzima hakuna makanisa??
Hata wewe unaweza kujibu.
Nchi za kiarabu kuna uhuru wa kuabudu hadi Iran upo uhuru wa kuabudu labda kama umesoma article za propaganda.
Halafu unaonekana mweupe kichwani uje kwa adabu sio kwa kukurupuka.
Maandishi yako tuu yanaonyesha ujinga uliyokariri kwenye kichwa chako. Sio wote wenye vipara wamejaza kichwani material ya maana wengine wamejaza mautopolo kichwani
 
Back
Top Bottom