India: Mwanamke aomba talaka baada ya mwanaume kushindwa kumnyanyasa

Ukistaajabu ya Musa, utaona ya firauni. Wakati Wanawake wengine wakilia na wanaume wanaowanyanyasa, huko India Mwanamke mmoja amedai talaka kwa sababu mumewe hamnyanyasi, kwani hata akifanya kosa mumewe humsamehe kitu ambacho mwanamke huyo anadai kuwa hapendi.

Mleta mada hujui maana ya kunyanyasa.

Huyu binti anachomaanisha,mumewe hamfokei/hamkaripii /hampigi hivyo anahisi hapendwi.
 
Back
Top Bottom