India: Mwanamke aomba talaka baada ya mwanaume kushindwa kumnyanyasa

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,322
14,244
Ukistaajabu ya Musa, utaona ya firauni. Wakati Wanawake wengine wakilia na wanaume wanaowanyanyasa, huko India Mwanamke mmoja amedai talaka kwa sababu mumewe hamnyanyasi, kwani hata akifanya kosa mumewe humsamehe kitu ambacho mwanamke huyo anadai kuwa hapendi.

IMG-20200824-WA0009.jpg
 
Huyu inatakiwa unatoka kazini anafungua tuu mlango kukupokea, unamrudisha ndani na bonge ya ndoga, akiamka hapo lazima amtafute mjumbe, akiendelea kulalamika ni kumtoroka atakuua sasa.
Kha!,kha!, kha!,Duh umenichekesha kweli kweli.
 
Kama jamaa kam-treat kwa kumpiga kwa upande wa kanga halafu demu kaleta jeuri si atumie upande wa panga?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom