Incompetence,Starehe na Ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Incompetence,Starehe na Ngono

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mmakonde, Jul 21, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Haya ndio matatizo makubwa sasa Tanzania

  Incompetence
  Tatizo la umeme
  Rushwa na mafisadi wao
  Miaka 50 ya UHURU,bado budget yetu inategemea Wazungu
  Miaka 50 ya UHURU,bado wagonjwa wanalala sakafuni
  Miaka 50 ys UHURU,elites wa CCM na serikali wanatibiwa nje ya nchi from Nyerere,Vasco Da Gama,Diria,Pinda ,Malecela etc
  Mediocre MPs na Bunge,ambalo limeshindwa kuicheck serikali.
  Tunaona usinziaji BUNGENI,maana hawa waheshimiwa ni POSHO tu,na wanadanganya wananchi huko vijijini

  Ngono
  Kuenea kwa AIDS ,sio accident.Hakuna morality maana ujumbe kutoka makanisani/misikitini umeshindwa kabisa.
  Angalia DODOMA kwenye vikao vya BUNGE utajua nini maana ya morality ya hawa waheshimiwa.
  Tunaona ngono ya hawa elites wanapotembelea ULAYA eti kukutana na diaspora,ni ngono ngono tu.


  Starehe
  Starehe ndi zimetuponza sana.Nchi za wenzetu hazikuendelea by accident.
  Angalia jiji la DSM jioni ,watu wanashinda kwenye mabaa!Na mgao huu,watu wanatumia muda mwingi kwenye vikao ,halafu ndio wakalale gizani.
  Vasco Da Gama yeye starehe yake ni kuruka hewani kwa cost ya tax payers.
  Wenzetu wanatumia Jumamosi kufanya may be kufanya maandamano ya charity,au kupinga serikali kama hawataki jambo fulani.
  Kwa mfano summer hii Ulaya,unaweza kukuta wanaendesha baiskeli say umbali toka Dar mpaka Mlandizi kuchangia charity fulani,hasa mambo ya cancer,ambalo ni killer disease kwa wazungu.

  Mpaka hapo wasomi wa DAR,na mijini pote Tanzania watakaposema enough is enough,quality ya maisha haya sio nzuri,UMEME wa mgao,
  na matatizo mengi ambayo ni self inflicted kutokana na policy mbovu za serikali ,we all doomed!
   
 2. k

  kiloni JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli vyote vyaenda pamoja; starehe, incompetence na ngono. Ndiyo njia pekee ya mpumbavu kupunguza "msongo"
  Bunge, wizara na taasisi vimejaa mahawara ambao uwezo wao ni mmoja "kuburudisha"
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kama sikosei ni Karl Marx aliyesema the middle class holds the key. Alidai kwamba mabadiliko au mapinduzi yoyote katika nchi hayaanzii juu (elites) wala chini (working class) bali yanaanzia katikati (bourgeoisie). Hawa watu wa kati ni pamoja na waandishi wa habari, wafanyakazi wa serikalini wa level ya kati na juu, wafanyabiashara nk. Sasa mapinduzi kutokea ni mpaka hii middle class iguswe. Kwa muda mrefu sasa watu wa kati wameweza kuendesha na kumudu maisha yao vizuri tu huku watu wa chini wakiteseka. Ndiyo maana tulikua hatuoni mabadiliko yoyote. Sasa kwa hali ilivyo sasa ya mafuta kuwa juu, chakula kuwa juu na umeme kukosekana hii itagusa na kuathiri moja kwa moja watu wa kati na ndiyo maana sasa tunaona mabadiliko kidogo. Ngoja hawa watu wa kati iwaguse vizuri haswa tutasikia kelele za kimapinduzi. I hope JK is a student of basic political history.
   
 4. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Wakazi wa mijini mmekuwa too dependent! Sugueni vichwa umeme ni tatizo la mijini tu.
  Tuulizeni sisi tunaoishi maporini tuwape mbinu. Mtamsubiria Vasco Da Gama mpaka azunguke dunia ndio arudi kuwa-sanii wapi na wapi. Lakini vasco yu karibu kufika Afrika Mashariki. Si amefika Rasi ya tumaini jema ee!? au CAPE OF GOOD HOPE a.k.a bondeni.
   
 5. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mwanafalsa 1,big up!Ndio maana politicians USA wanajali Middle Class,maana ndio hao walipa kodi,na wanaamua nani aingie White House.
  UK wanawaita Middle England.

  Sasa Tanzania Middle Class,ni bogus tu.Tumekubali status quo.
  Ukiwa na kazi umejenga nyumba yao Kimara au Gongo la Mboto,unagari second hand toka Japan,basi ndio unaona umefika.

  Kumbe hujui policy za sasa ,zitakufikia ukiwa uzeeni.Wazungu wenzetu wanaworry pension zao baada ya kustaafu.Also sasa unafurahi maisha ,ukiwa mzee unaweza kumudu gharama za afya yako?

  Mpaka hapo Middle class waseme enough sasa,kwamba it is immoral kulala gizani 21 Century.Tukitegemea watu wa vijijini kubadilisha nchi tumekwisha.Maana wao kutokuwa na umeme ni status quo,they see no difference.
   
Loading...