Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 360
Paul Ince amepata ile nafasi ilyoachwa wazi na Mark Hughes katika club ya Blackburn Rovers kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu. Hii inamfanya aweke historia ya kuwa mwingereza mweusi wa kwanza ku manage kwenye premier league, mameneja wengine wawili weusi waliowahi kupata nafasi kama hii ni Jean Tigana na Ruud Gullit. Tumuombee kheri asije akachemsha ili huu uwe mwanzo mzuri kwa ngozi nyingine nyeusi.