Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 159
Labda mkuu maana mitandao mingine angalau wamethubutu kubadilisha mabando lakini VODACOM bado kuna nini kwao au serikali nayo ina ubia wake maana sielewi kwakweli mpaka sana kwa maagizo ambayo yametolewa kwa mitandao mingine?Voda ni kampuni ya kijeuri sana. Kisa tu wateja wake wengi ni matajiri eti! Sijui ni kweli?
kilio kama changu maana mimi ni mtumiaji pia mkubwa vifurushi vyao hasa kwa shughuli zangu za online applications lakini sasa kwakweli nipo mbioni kutafuta Modem ya mtandao wenye vifurushi nafuu.Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurdishwa kam zamani pia zimeboreshwa..
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki. Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?. VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo
Sasa mzee TTCL ubiruko huku hata haijulikani na hii ndio sababu voda wanaringiaMmelazimishwa huko voda.
Mimi nimehamia ttcl wala sina shida ,kwa buku napata GB1.2
Hamia HalotelNimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki. Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?. VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo
Mie nilisha wakimbia kitambo maana wanaonekana wametosheka na watejaNimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki. Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?. VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo
Na hiyo inawezekana ikawa sababu maana wanajeuri sana .Voda ni kampuni ya kijeuri sana. Kisa tu wateja wake wengi ni matajiri eti! Sijui ni kweli?
Mkuu pesa unayotumia kununulia bundle ni yakwako unapataje mateso hivyo?Binafsi niliwapigia wakasema kuwa bundle tunazoziona sasa ndioo zilikuwepo zamani kabla ya mabadiliko kwamba hizi bundle pamoja na kurdishwa kam zamani pia zimeboreshwa.
Huu ni uwongo kabisa wa Vodacom kwa sisi wateja wake.
Mie binafsi nilikuwa mtunijai mkubwa wa kifurushi cha sh. 3000 kwa wiki nilikuwa napata GB 1.2 na dkk 200 voda-voda na 50 mitandao yote. Sa hv kwa kiasi hicho unapata dkk 100 mitandao yote, MB 600 na sms nadhani 30 tu.
Hii inamaanisha tu kuwa Vodacom wamekataa maelekezo ya serikali na zaid wanatuahadaa kabisa.
For sure vodacom hawatufai
Mimi naamini kuhama mtandao hulazimiki kumuaga balozi wala mtendaji wala huami na mabegi wala kabati.Na Tigo pia wamegoma kabisa kurudisha
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki. Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?. VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo
The same na Halotel unapata hiyo hiyo tuMmelazimishwa huko voda.
Mimi nimehamia ttcl wala sina shida ,kwa buku napata GB1.2
Vodacom Tanzania wanakiburi hatariNimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.