Ungeitaja nchi yenyewe kwanza ili tupitie katiba yake inasemaje kuhusu hilo kinyume na hapo zitakuwa ni story za kusadikika.Nilipata kusikia kuwa katika nchi moja ya jirani, Raisi wake akilindwa na majeshi ya nchi nyingine, ilihali hakukuwa na vita, machafuko wala mapinduzi yoyote.
Nikapata shauku ya kujua inawezekana Raisi aliyechaguliwa kikatiba akalindwa na majeshi ya nchi nyingine na isilete ukakasi nchini mwake? Kisheria na kiutawala wa nchi (sovereignty) hii iko sawa? Justification yake ikoje labda?
Wataalam wa sheria na sayansi ya siasa embu tusaidieni hapa.
Wanadanganyana kuhusu nini?Bado mnadanganyana huko ufipa?
Kuhusu mada iliyoletwa na mengine mengi.Wanadanganyana kuhusu nini?
Ungeitaja nchi yenyewe kwanza ili tupitie katiba yake inasemaje kuhusu hilo kinyume na hapo zitakuwa ni story za kusadikika.
Si hao wapumbavu waliodai tanzania tuna mabodigadi ya kinyarwandaWanadanganyana kuhusu nini?
jamaa waongo sana hawa, tupe ukweli mkuu kwa majina na sehemu wanazotoka walinzi wote wa jumba jeupe. tumalize utata leoSi hao wapumbavu waliodai tanzania tuna mabodigadi ya kinyarwanda
Nani akupe majina ya walinzi wa nchi wewe endelea kuamini porojo za vijiweni ila wenye uelewa mkuu wa siasa za maziwa makuu na tulioshuhudia migogoro ya baadhi ya nchi za maziwa makuu tunakuambia hatujafikia hiyo ya kuwekewa pandikizi tena na nchi kama Rwandajamaa waongo sana hawa, tupe ukweli mkuu kwa majina na sehemu wanazotoka walinzi wote wa jumba jeupe. tumalize utata leo
Si hao wapumbavu waliodai tanzania tuna mabodigadi ya kinyarwanda
Shida sana miitoto iliyozaliwa kizazi cha smartphone ni shida sana kila udaku yakikuta mtandaoni ni kuposti tu bila hata kuchunguza hakunaHao akili zao sio salama.kabisa
Unazijua akili za huyo unayemtetea lakini?! Ni sifuri, mshauri wake mkuu ni Bashite. Yaani vipofu......Nani akupe majina ya walinzi wa nchi wewe endelea kuamini porojo za vijiweni ila wenye uelewa mkuu wa siasa za maziwa makuu na tulioshuhudia migogoro ya baadhi ya nchi za maziwa makuu tunakuambia hatujafikia hiyo ya kuwekewa pandikizi tena na nchi kama Rwanda
aiseee !!!Ukiona analindwa na jeshi la kigeni ujuwe alichaguliwa ki kalkuleta (calcurator) demokrasi ilizima program ya excel yenye hesabu za iringa 0 mbeya 0 arusha 0 moshi 0 songea 60 mtwara 12