Inawezekana mwendokasi ukisimamiwa kwa umakini una pesa ndefu kuliko ATCL

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
ATCL Na mwendokasi yote ni miradi ya serikali na kampuni zote kazi yake ni kubeba abiria ATCL Angani na Mwendokasi Ardhini, Ila ukiangalia kwa umakini Mwendokasi inahudumia mamilioni ya watu wakati Atcl Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kuaford kupanda ndege na ndio maana Atc miaka 7 haina faida inakula hasara kila siku

Cha kushangaza serikali bado inanunua mandege kwa mabilioni na soko la abiria ni lakawaida, ila sehem yenye population ya watu sehem,Nzuri ya kupiga pesa magari zaidi ya 70 yamekufa serikali hainunui gari mpya na pesa hazijulikani zinapoenda

Haya mabilioni mnayonunua ndege mngewekeza kwenye usafiri huu wa mwendokasi mkaweka usimamizi mzuri mkashusha gari za kutosha Njia ya Gerezani,Kivukoni,Tegeta,Mbagala nawahakikishia hiyo Atc ni chamtoto
 
Siku wakiacha wizi na uongo na tamaa labda
Ila hili shirika lingebinafsishwa na kuligawa kwa matajiri hata wanne na kugawa routes la sivyo kila leo hela zitapigwa tu
Acheni wizi
Nimeona Rwandan Air at Heathrow nashangaa sisi Dar- Tbr unaambiwa itachelewa mafuta yameisha hao ndio watashindana na wenzao
 
ATCL Na mwendokasi yote ni miradi ya serikali na kampuni zote kazi yake ni kubeba abiria ATCL Angani na Mwendokasi Ardhini, Ila ukiangalia kwa umakini Mwendokasi inahudumia mamilioni ya watu wakati Atcl Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kuaford kupanda ndege na ndio maana Atc miaka 7 haina faida inakula hasara kila siku

Cha kushangaza serikali bado inanunua mandege kwa mabilioni na soko la abiria ni lakawaida, ila sehem yenye population ya watu sehem,Nzuri ya kupiga pesa magari zaidi ya 70 yamekufa serikali hainunui gari mpya na pesa hazijulikani zinapoenda

Haya mabilioni mnayonunua ndege mngewekeza kwenye usafiri huu wa mwendokasi mkaweka usimamizi mzuri mkashusha gari za kutosha Njia ya Gerezani,Kivukoni,Tegeta,Mbagala nawahakikishia hiyo Atc ni chamtoto
Good thinking but you need to support your hypothesis with "hypothetical data" ie how many commuters are served a day by Mwendokasi, likewise by ATCL
say: Mwendokasi a day 2 million people each pays 600Tsh =.................................. tufanyie kitu kama hicho tuone
 
Mimi nikipewa tenda ya kusimamia na kuendesha mradi wa mwendokasi ni ndani ya miezi 6 utaingia miongoni mwa miradi bora ya usafirishaji wa mijini duniani
 
Back
Top Bottom