Inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

S

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
47
Likes
12
Points
0
Age
27
S

Saint H.Jr

Member
Joined Aug 22, 2013
47 12 0
Wadau,

Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!

Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu! Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."

Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".

Nisaidieni wadau.

Nawasilisha.

======

Virus vinaishi kwenye damu. Watu wamejaribu kupambanua njia tofauti tofauti za maambukzi. Ila njia ni moja tu. Kukiwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika.

Kwa wanawake ni rahisi sana kuambukizwa kutokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Katika uke wa mwanamke kuna chembe chembe nyeupe za damu nyingi hususni wa kati wa tendo husika. Na tunajua HIV huwa vinaishi ndani ya WBC.

Ishu za manii ama orgasm fluids zinapotoka huwa hazina uhalisia wa moja kwa moja wa kuwa na VVU
 
S

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
47
Likes
12
Points
0
Age
27
S

Saint H.Jr

Member
Joined Aug 22, 2013
47 12 0
Deo Corleone

Hukuwahi kumuuliza ni kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Pianist

Pianist

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Messages
601
Likes
51
Points
45
Pianist

Pianist

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2010
601 51 45
Kama mwanamke ndiye ana virusi vinavyosababisha Ukimwi na mwanaume hana, mwanaume anaweza asiambukizwe virusi hivyo endapo hakutakuwa na misuguano mikubwa itakayosababisha michubuko wakati wa kuingiliana (katika uke). Hii inaweza kuwa kwa sababu mwanamke alikuwa ametoa vilainisho vya asili au walitumia mafuta ya maji ya kulainisha.

However it is not worth it kwenda kavu hata mwanamke awe wa aina gani.
 
S

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
47
Likes
12
Points
0
Age
27
S

Saint H.Jr

Member
Joined Aug 22, 2013
47 12 0
Kama mwanamke ndiye ana virusi vinavyosababisha ukimwi na mwanaume hana, mwanaume anaweza asiambukizwe virusi hivyo endapo hakutakuwa na misuguano mikubwa itakayosababisha michubuko wakati wa kuingiliana (katika uke). Hii inaweza kuwa kwa sababu mwanamke alikuwa ametoa vilainisho vya asili au walitumia mafuta ya maji ya kulainisha.

However it is not worth it kwenda kavu hata mwanamke awe wa aina gani.
Mkuu,vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen
 
Jakubumba

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Messages
1,627
Likes
21
Points
135
Age
33
Jakubumba

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2011
1,627 21 135
Inawezekana kabisa ndugu! Kama kila anaelala na mwenye ukimwi bila condom angekuwa anaambukizwa basi tungekuwa tumeisha. Asilimia kubwa ya watu hawavai condom, na wengi wanafanya ngono kama hobby, all in all your theory is right Saint H.Jr
 
Last edited by a moderator:
S

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
47
Likes
12
Points
0
Age
27
S

Saint H.Jr

Member
Joined Aug 22, 2013
47 12 0
Inawezekana kabisa ndugu! Kama kila anaelala na mwenye ukimwi bila condom angekuwa anaambukizwa basi tungekuwa tumeisha. Asilimia kubwa ya watu hawavai condom, na wengi wanafanya ngono kama hobby, all in all your theory is right.
Mkuu,hapa inamaanisha fluids si kitu for AIDS career?
 
Jakubumba

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Messages
1,627
Likes
21
Points
135
Age
33
Jakubumba

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2011
1,627 21 135
Mkuu,hapa inamaanisha fluids si kitu for AIDS career?
Mkuu what I can assure you is that all fluids in human body is AIDS career. The most important thing is that make sure you know the difference between AIDS and HIV may be that can help to understant what I meant.
 
S

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Messages
47
Likes
12
Points
0
Age
27
S

Saint H.Jr

Member
Joined Aug 22, 2013
47 12 0
Mkuu what I can assure you is that all fluids in human body is AIDS career. The most important thing is that make sure you know the difference between AIDS and HIV may be that can help to understant what I meant.
Then,go further on educating me if you don't mind,i would like to learn from you! Thanks
 
N

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Messages
2,712
Likes
200
Points
160
N

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2011
2,712 200 160
Weeeee,labda ukimwi wa kichina huo,wabongo mnavyojua kusimamia show,kutoambukizwa ni bahati sana

Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.
 
think3r91

think3r91

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
471
Likes
117
Points
60
think3r91

think3r91

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
471 117 60
Mkuu,vipi kuhusu mbadilishano wa manii,maana si wote mtafika kileleni kwa maana ya wote kutoa semen
Virus vinaishi kwenye damu. Watu wamejaribu kupambanua njia tofauti tofauti za maambukzi. Ila njia ni moja tu. Kukiwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika.

Kwa wanawake ni rahisi sana kuambukizwa kutokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Katika uke wa mwanamke kuna chembe chembe nyeupe za damu nyingi hususni wa kati wa tendo husika. Na tunajua HIV huwa vinaishi ndani ya WBC.

Ishu za manii ama orgasm fluids zinapotoka huwa hazina uhalisia wa moja kwa moja wa kuwa na VVU
 
think3r91

think3r91

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
471
Likes
117
Points
60
think3r91

think3r91

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
471 117 60
Mkuu what I can assure you is that all fluids in human body is AIDS career. The most important thing is that make sure you know the difference between AIDS and HIV may be that can help to understant what I meant.
This is not quite practical. HIV both I&II finds a home in hosts WBC.

Je unajua baada ya virus kuingia ndani ya mwili wa binadamu. At very first stage within 72 hours ni kuishi kwenye lymphatic nodes?

Hapo ndipo PEP hufanya kazi za kuzuia HIV kwenda kwenye WBC. Mwisho wa siku virus wankufa na kuwa dormant kabisa.

Tambua na ijulikane. Virus wa ukimwi amekuwa laboratory engineered to live and produce replica in white blood cell..
 
Forum statistics

Threads 1,272,992
Members 490,220
Posts 30,466,849