ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,005
- 50,733
Mkoa wa Ruvuma kwa sasa ni kama huge construction site au work shop.
Kwa miaka ya hivi karibuni umekuwa unamiminiwa miradi ya kila aina tofauti na mikoa mingine kama Rukwa, Morogoro, Lindi, Singida, Kigoma nk.
Kwa mfano ndani ya miaka 7 iliyopita kumemiminiwa miradi kama ifuatavyo;
Ruvuma kwa sasa ni mkoa wa 3 kwa kuchangia pato la taifa Tanzania yaani GDP.(Taarifa zisizo Rasmi)
Mikoa ambayo haina watu wa connection haitakiwi kupata maendeleo?
Ili kuondoa huu upendeleo ni vyema tuwe na kanuni maalumu ya mgawanyo wa keki ya Taifa.
My Take
Mkoa wa Ruvuma ndio Chato ya Sasa?

- Barabara zote kuu zinazoingia/Kutoka zimejengwa na zinaendelea na ujenzi.
- Barabara za mitaani mjini zimejengwa sana na za Tarura huko Mawilayani zinapasukiwa kama zote.
- Imejengwa Hospital Mpya ya Mkoa achilia mbali Hospital za Wilaya zote.
- Mradi mkubwa wa kusambaza Maji Songea wa zasii ya Bil.120 unaendelea.
- Uwanja Mpya wa Ndege na kufungwa Taa kabisa.
- Ujenzi wa New Campus z Vyuo Vikuu 2.
- Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhia mazao(Mkoa huu ndio unaongoza Kwa Maghala mengi zaidi ya 16).
- Mashule, Zahanati, Vituo vya Afya havihesabiki.
-Ujenzi wa Bandari za Ndumbi na Mbamba Bay
-Ujenzi wa Sgr ya Mbamba Bay -Mtwara Port