Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Mwanangu wa kike alimaliza fm six mwaka jana kombi HGK akapata S. E . D sasa anataka ku kurudia somo moja hapo, na ameng'ang'ana kabisa ,mimi kama mzazi nikamshauri asome diploma akasema diploma ina masheriti magumu zaid , sasa inawezekana akarudia somo moja hapo geography peke yake ili atafute D ya pili ?