simple_pombe kwa saaana plus milupo i.e cku una hamu unaita demu wa ku do nae na unamlipa na anasepa.periodMara zote nimekuwa nikipata girlfriend wasio na upendo wa kweli kwangu.sasa nimeona inatosha...naona nazinguliwa sana...ni mitindo gani ya maisha unatakiwa uende nayo ili uweze kuishi single?
Pasha ushauri kwa mapadre wa RC.
Kaka jaribu kujizuia kupenda fahamu unachohitaji toka kwa binti halafu utaishi vizuri tu wachukulie kwamba wote ni milupo na wewe ni wa gharama sana hata kutembea na binti unamsaidia tu.....................
yeah!...hii ni nzuri,hata mm ninaitumia sana pale ninapotaka kuwa mbali mpnz wangu.unaweza tafuta marafiki wa ukweli sana yaani kuwa bize na kazi wkdays
wkend kula bata sana pia shinda shinda jf siku zinaenda
mhhhhhhhhh!...ya kweli haya?Pasha ushauri kwa mapadre wa RC.
mkuu na ww unataka kuwa single!...aaaaaaaah_huo ni ubinafsi bhana....me like them girlsJaribu ukiweza utupe maujuzi.
igweeeeeeeeee ? umeona eehwkend hamna kulala home unaenda club zote mjini wkdays upo bize hata mihemko inakuwa haipo yaaniyeah!...hii ni nzuri,hata mm ninaitumia sana pale ninapotaka kuwa mbali mpnz wangu.
igweeeeeeeeee ? umeona eehwkend hamna kulala home unaenda club zote mjini wkdays upo bize hata mihemko inakuwa haipo yaani
na matumaini piajipeni moyo!
mkuu na ww unataka kuwa single!...aaaaaaaah_huo ni ubinafsi bhana....me like them girls
Mimi kwangu hata kama ikitokea nimetendwa,....life goes on,...upweke oooooh no.Inawezekana sn tu mkuu,ukipata yale maumivu ya ukweli ya kutendwa wala hutakumbuka habari ya kuwa na mpnz,kwanza ukisikia watu wanayapa umuhimu unawasikitikia tu,ila km hujatendwa ipasavyo itakuwia ngumu coz utakuwa na vitu vizuri unavyovimic na utatafuta mwingine!