Inawezekana kuish bila ya mpenzi?

Mara zote nimekuwa nikipata girlfriend wasio na upendo wa kweli kwangu.sasa nimeona inatosha...naona nazinguliwa sana...ni mitindo gani ya maisha unatakiwa uende nayo ili uweze kuishi single?
simple_pombe kwa saaana plus milupo i.e cku una hamu unaita demu wa ku do nae na unamlipa na anasepa.period
 
jichanganye go out i.e club, beach , party zozote za kiofisi kirafiki hakikisha haukosivisit normal friends soma novels/ any bookskama unapenda listen music (hii imenisaidia sana)tafuta rafiki wa karibu wa kiume uwe nae hata weekendssali sana
 
Kaka jaribu kujizuia kupenda fahamu unachohitaji toka kwa binti halafu utaishi vizuri tu wachukulie kwamba wote ni milupo na wewe ni wa gharama sana hata kutembea na binti unamsaidia tu.....................
 
aiseeeeeeeeeeeeee!
 
unaweza tafuta marafiki wa ukweli sana yaani kuwa bize na kazi wkdays
wkend kula bata sana pia shinda shinda jf siku zinaenda
yeah!...hii ni nzuri,hata mm ninaitumia sana pale ninapotaka kuwa mbali mpnz wangu.
 
yeah!...hii ni nzuri,hata mm ninaitumia sana pale ninapotaka kuwa mbali mpnz wangu.
igweeeeeeeeee ? umeona eehwkend hamna kulala home unaenda club zote mjini wkdays upo bize hata mihemko inakuwa haipo yaani
 
Inawezekana sn tu mkuu,ukipata yale maumivu ya ukweli ya kutendwa wala hutakumbuka habari ya kuwa na mpnz,kwanza ukisikia watu wanayapa umuhimu unawasikitikia tu,ila km hujatendwa ipasavyo itakuwia ngumu coz utakuwa na vitu vizuri unavyovimic na utatafuta mwingine!
 
Hii inachanganya sana..............kuna jamaa aliyesababisha wewe utendwe na huyo/hao (ma)binti,yeye kwa upande wake atauliza swali gani?????sio jinsi kuwa single....ova
 
mkuu na ww unataka kuwa single!...aaaaaaaah_huo ni ubinafsi bhana....me like them girls

Mkuu asikudanganye mtu hakuna aliye single...... ndo maana namwambia ajaribu yeye akiweza atuambie.... uwe single wakati ndo kwanza wanazaliwa??
 
Inawezekana sn tu mkuu,ukipata yale maumivu ya ukweli ya kutendwa wala hutakumbuka habari ya kuwa na mpnz,kwanza ukisikia watu wanayapa umuhimu unawasikitikia tu,ila km hujatendwa ipasavyo itakuwia ngumu coz utakuwa na vitu vizuri unavyovimic na utatafuta mwingine!
Mimi kwangu hata kama ikitokea nimetendwa,....life goes on,...upweke oooooh no.
 
Duh!mabint wote wakuzingue?itawezekana kama umeumbwa bila viungo vya uzazi,utakaa kwa muda tu halafu yatakushinda,kama muislamu/mkristo jishughulishe na msikitn/kanisan na economic activities zako.Njia nyngne ndyo zitakuzidisha utaman wanawake uishie kupata ngwengwe,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom