Inawezekana kuish bila ya mpenzi?

Fanya ibada kama ni mkristo, jiunge na kwaya au fellowship mbalimbali, angalia movies, angalia vichekesho kama mimi hapa saa hizi naangalia funny videos za Youtube nakadhalika, fanya mazoezi na soma vitabu vya dini na vya kawaida, ukimaliza yote hayo utakua umezeeka na uko kaburini.
 
Mara zote nimekuwa nikipata girlfriend wasio na upendo wa kweli kwangu.sasa nimeona inatosha...naona nazinguliwa sana...ni mitindo gani ya maisha unatakiwa uende nayo ili uweze kuishi single?
Kua na interest nyingi in solitary activities like reading, writting, painting, cycling hicking etc, na uenjoy kweli kua na muda wa kukaa peke yako. Ila jichanganye sana na marafiki wakiume na wakike usiwe disconected na reality.
 
Fanya ibada kama ni mkristo, jiunge na kwaya au fellowship mbalimbali, angalia movies, angalia vichekesho kama mimi hapa saa hizi naangalia funny videos za Youtube nakadhalika, fanya mazoezi na soma vitabu vya dini na vya kawaida, ukimaliza yote hayo utakua umezeeka na uko kaburini.
 
Hiyo rahisi sana,tafuta mkataba wa kazi nchini Iran au Saudi Arabia tu,hata miaka mitano inatosha kuanzia na ninakuhakikishia katika miaka hiyo ukipata hata mpenzi mmoja basi nitaacha kuchangia mawazo na ushauri wangu JF
 
Ahsanten kwa mawazo yetu,hapa sasa kazi imebaki kwangu kuchagua rai ya kufuata ktk zile nyingi nilizopewa
 
Mimi kwangu hata kama ikitokea nimetendwa,....life goes on,...upweke oooooh no.

Unarudi ulingoni na kujaribu tena baada ya kutendwa, kama umewahi kuonja raha ya mapenzi basi si rahisi kabisa kuishi bila kuwa nayo. Mapenzi raha banaaa!

 
Last edited by a moderator:
do a self analysis,ujue wapi unakosea. we tend to attract the same kind of trouble mostly. give urself a break kwanza and focus on ur self. enjoy life, get new hobbies and be positive. when u love uself, love tends to follow u. kama uko lonely,miserable or desperate unakua sio mpenzi mzuri na mwisho wake wenye upendo wa kweli wanakuona mapemaa na kukukimbia (they say 30 seconds is all u need to conclude on a person)
 
Kuishi single haina shida sana ukiwa kijana. Ila ni kazi sana kuishi single uzeeni!
 
sidhani kama inawezekana uishi peke yako miaka yoote,upweke utakutia uchizi,hata uwe na marafiki kiasi gani lkn usiku wenzio watarudi kukumbatiana na wake/wapenzi wao wewe unabaki mwenyewe na sauti za redio tu.Mabinti wa uhakika wapo ni wale waliompokea Yesu,huwezi kuwatambua kama hutasali ili upewe macho ya kiroho ya kuwaona,hata ukienda kanisani kutega kama hujaokoka kwa dhati basi hata huko church unaweza kuibuka na kimeo tena maana si wote wanaokwenda kanisani ni wasafi.Si mpango wa Mungu mwanadamu aishi peke yake ndo maana alisema 'si vyema mtu huyu awe peke yake' sasa wewe utawezaje kuwa peke yako????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom