Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali...

kwa mujibu wa chadema kupitia kwa SAANANE Kwa tafiti hizi za mwisho wa mwezi sept hakuna hata moja iliyokubaliwa na CHADEMA,.sasa kama yeye ni chadema na kahusika katika kupika tafiti amekataliwa,na kama TWAWEZA wamepika tafiti iwapendelee CCM nao wamekataliwa pia.
 
Kwani Saanane ni msemaji wa Chadema..ama anaongea kama nani kwenye CHADEMA..???
 
CP0CopIWsAAlyPa.jpg

Mtafiti akiwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa WATANZANIA....

CP0CopaWIAAjr4i.jpg

Baada ya kumaliza kuwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa watanzania AKIJIPONGEZA...

Dah basi ndio hivyo WADAU.....next time jaribuni kuwa "smart" kidogo ili sinema yenu iwe na uhalisia kidogo...au script aliandika Wolper..??
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Back
Top Bottom