Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali...

Juliana Shonza

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,009
1,607
CP0CopIWsAAlyPa.jpg

Mtafiti akiwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa WATANZANIA....

CP0CopaWIAAjr4i.jpg

Baada ya kumaliza kuwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa watanzania AKIJIPONGEZA...

Dah basi ndio hivyo WADAU.....next time jaribuni kuwa "smart" kidogo ili sinema yenu iwe na uhalisia kidogo...au script aliandika Wolper..??
 
Hawa watu waende zao wasitufanye wote wapunga upepo. Wamejitaidi kutumia kiki ya kuichoka ccm bila kujua Magufuli ndo Mpango mzima, anawachachafya wala hawajui wamushike wapi. #Mwadilifu
 
CP0CopIWsAAlyPa.jpg

Mtafiti akiwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa WATANZANIA....

CP0CopaWIAAjr4i.jpg

Baada ya kumaliza kuwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa watanzania AKIJIPONGEZA...

Dah basi ndio hivyo WADAU.....next time jaribuni kuwa "smart" kidogo ili sinema yenu iwe na uhalisia kidogo...au script aliandika Wolper..??

Hii picha ni ya zamani sana acha kupotosha wewe.
 
Shonza hebu tueleze tarehe za hizo picha zote mbili ili uliyoyasema yawe authentic...sidhani kama ni sahihi kwako wewe kutumia lugha uliyotumia bila facts vinginevyo tutakuchukulia tu kama vile ulivyotoa matokeo ya Mtama last week ambavyo waliokuwa na fact waliprove bila ya shaka yoyote kuwa ulikuwa mwongo na huijui ccm inayokutumikisha. Tusingependa kukwita mwongo kwenye hili mpaka ushindwe kuthibitisha bila shaka yoyote hayo uliyoyasema.
 
Hii picha ni ya zamani sana acha kupotosha wewe.

Hivi sasa hivi ukiweka picha ya Lowassa akiwa ccm ndio ukataka tuone ni tukio la leo tutakuoana ni mzima kweli? Ama picha ya Slaa akiwa Zitto halafu ukijifanya ndio wametoka kwenye kikao leo asubuhi na wanacdm bado utaweza kujiita msomi na watu waridhike kupeleka watoto/ndugu zao chuo ulichosomea wewe? Eti jana na wewe ukawa unajiita msomi, kwa hili huoni ndio tunawaona wasomi ni bonge ya wapuuuzi?
 
Shonza hebu tueleze tarehe za hizo picha zote mbili ili uliyoyasema yawe authentic...sidhani kama ni sahihi kwako wewe kutumia lugha uliyotumia bila facts vinginevyo tutakuchukulia tu kama vile ulivyotoa matokeo ya Mtama last week ambavyo waliokuwa na fact waliprove bila ya shaka yoyote kuwa ulikuwa mwongo na huijui ccm inayokutumikisha. Tusingependa kukwita mwongo kwenye hili mpaka ushindwe kuthibitisha bila shaka yoyote hayo uliyoyasema.

Haya tuseme picha za tarehe tofauti je yeye huyo mtafiti?kama ni yeye basi msikimbilie hoja dhaifu za tarehe na makandokando yake.hapo tu utafiti unakuwa maana kama ni MTU huyo huyo.
 
Juliana Shonza hapa sio siri umewashika pabaya machalii..wengi tulijua huu utafiti feki ulikuwa ni wa kujipoza machungu na kuzuia kondoo wasizidi kuondoka zizini
 
Last edited by a moderator:
Shonza hebu tueleze tarehe za hizo picha zote mbili ili uliyoyasema yawe authentic...sidhani kama ni sahihi kwako wewe kutumia lugha uliyotumia bila facts vinginevyo tutakuchukulia tu kama vile ulivyotoa matokeo ya Mtama last week ambavyo waliokuwa na fact waliprove bila ya shaka yoyote kuwa ulikuwa mwongo na huijui ccm inayokutumikisha. Tusingependa kukwita mwongo kwenye hili mpaka ushindwe kuthibitisha bila shaka yoyote hayo uliyoyasema.

Mnaumbuliwa tu.

kumbe huo utafiti umefanywa na wanachama ndani ya chama.....!!!!!!
 
Masikiniii wanatapatapa bila hoja, hili ndilo tatizo la kuyalazimisha masikio yasikie tu kile yanachotaka kusikia tu. Hakuna mtu duniani angefurahi kusikia eti baba yake au mme wake mwizi au mama yake mchawi lakini kama mwizi kweli na kakamatwa na ushahidi wa wazi utafanyaje? Ni chungu kumeza lakini inabidi uvumilie tu.
 
huyo jamaa anatumika na ccm, haiwezekani akampunjaa lowassa kiasi hicho!! lowassa ana more than 70%
 
Teh teh teh! Bibie kama ulikosa ukuu wa wilaya kipindi cha JK sahau kabisa kuupata tena. Magufuli kasema na atapunguza baraza la Mawaziri, sembuse akupe ukuu wa wilaya. Akiingia EL ndo potea yako kabisa. Yàani you are loosing even before the game starts. Rudi kwenye taaluma yako, achana na siasa hizi za majitaka..!
 
Kilichowashinda kusema huu ni utafiti wa ndani ya chama ni nini hasa?

Ukiwa Wa ndani ya chama ina kuuma nini ?

Si umefanywa ndani ya Tanzania au tatizo watafiti kua waumini Wa chama fulani ?

Mbona wale Wa twaweza ni watoto Wa makada ya ccm na yana kadi za ccm !!
 
Back
Top Bottom