Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali... | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Juliana Shonza, Sep 26, 2015.

 1. J

  Juliana Shonza Verified User

  #1
  Sep 26, 2015
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 2,007
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Mtafiti akiwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa WATANZANIA....

  [​IMG]
  Baada ya kumaliza kuwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa watanzania AKIJIPONGEZA...

  Dah basi ndio hivyo WADAU.....next time jaribuni kuwa "smart" kidogo ili sinema yenu iwe na uhalisia kidogo...au script aliandika Wolper..??
   
 2. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #21
  Sep 26, 2015
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wangesema hivyo igizo lisingekamilika
   
 3. Allen Kilewella

  Allen Kilewella Verified User

  #22
  Sep 26, 2015
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 8,143
  Likes Received: 11,777
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako Juliana Shonza ukianzisha mada huwa unakimbia. Weka mada bakia kuijadili!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. data

  data JF-Expert Member

  #23
  Sep 26, 2015
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 17,780
  Likes Received: 7,690
  Trophy Points: 280
  Ahaaa!!!
   
 5. manking

  manking JF-Expert Member

  #24
  Sep 26, 2015
  Joined: Feb 8, 2014
  Messages: 1,310
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hata kama ni ya zamani mbuzi hawezi geuka kuwa simba.
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #25
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  utafiti wa awa jamaa umetengenezwa ofisi za chadema. Ni uongo mtupu na kujifariji
   
 7. LWENYI

  LWENYI JF-Expert Member

  #26
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 4, 2013
  Messages: 1,405
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Mbona TWAWEZA walikua kwenye pannel wakiandaa data feki na kina mwigulu na yule aliyeutaka urais naye eti khaaa l😳😳😳 kigwangala sijui anaichukuliaje hii nchi
  Na wakajipa asilimia zao wenyewe na kujipongeza wenyewe wananchi hawana habare
   
 8. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #27
  Sep 26, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  Lowassa yuko zaidi ya 54%, labda 75%.
   
 9. Mavipunda

  Mavipunda JF-Expert Member

  #28
  Sep 26, 2015
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,840
  Likes Received: 3,590
  Trophy Points: 280
  Macho ya mtafiti yanaakisi kama ni mpiga dili...ili tumegundua
   
 10. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #29
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 24,559
  Likes Received: 16,656
  Trophy Points: 280
  Alafu nimekumbuka, Mbatia ktk press conference alisema wao wana utafiti wao wa ndani.
   
 11. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #30
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 24,559
  Likes Received: 16,656
  Trophy Points: 280
  Aisee huyu dada kawakamata haswa haswa!
  Huu ni utafiti wa ndani ya chama, sioni ishu kubwa kwa chadema kufanya utafiti wao ila hata mtoto mdogo angejua majibu, ukijumlisha na ukakasi wa tafiti hii kutoka kwa baadhi ya wataalam! Kazi ipo!
   
 12. Kifaurongo

  Kifaurongo JF-Expert Member

  #31
  Sep 26, 2015
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 2,698
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Msemaji mwenza wa Chadema Mh. Mbatia alishatujulisha juzi kuwa wao wana utafiti wao wa ndani ndio huu
   
 13. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #32
  Sep 26, 2015
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata kama ni ya jana kwani nene?
   
 14. j

  jimama26 JF-Expert Member

  #33
  Sep 26, 2015
  Joined: Jul 30, 2013
  Messages: 892
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
  Ndio yeye mwenyewe.
   
 15. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #34
  Sep 26, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,687
  Likes Received: 12,208
  Trophy Points: 280
  Kuijua chadema sio tija, hujajibu swali uliloulizwa.
   
 16. r

  ray jay JF-Expert Member

  #35
  Sep 26, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Caught red handed...
   
 17. r

  ray jay JF-Expert Member

  #36
  Sep 26, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Ahahahahahahaha hawa jamaa ni kiboku...
   
 18. r

  ray jay JF-Expert Member

  #37
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Chadema mmetia aibu katika hili...hii ni fedhea aisee.
   
 19. r

  ray jay JF-Expert Member

  #38
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Una uhakika wale jamaa wana kadi za CCM..? Naomba unithibitishie ili niwe na uhakika wa kauli hii.
   
 20. r

  ray jay JF-Expert Member

  #39
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  UKAWA wana hali mbaya sana uchaguzi huu...
   
 21. i

  ikisimama panda JF-Expert Member

  #40
  Sep 27, 2015
  Joined: Apr 3, 2015
  Messages: 1,956
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  kwahiyo unatumia uongo mmoja kuhalalisha uongo wa pili?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...