Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali... | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Juliana Shonza, Sep 26, 2015.

 1. J

  Juliana Shonza Verified User

  #1
  Sep 26, 2015
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 2,007
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Mtafiti akiwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa WATANZANIA....

  [​IMG]
  Baada ya kumaliza kuwasilisha matokeo ya Utafiti wake kwa watanzania AKIJIPONGEZA...

  Dah basi ndio hivyo WADAU.....next time jaribuni kuwa "smart" kidogo ili sinema yenu iwe na uhalisia kidogo...au script aliandika Wolper..??
   
 2. Abou Saydou

  Abou Saydou JF-Expert Member

  #41
  Sep 27, 2015
  Joined: Dec 1, 2014
  Messages: 2,535
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni hivi

  Hakuna mtafiti ndani ya Tanzania ambaye hana chama
   
 3. r

  ray jay JF-Expert Member

  #42
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Tusaidie Mama, huyo jamaa ni nani..???
   
 4. Abou Saydou

  Abou Saydou JF-Expert Member

  #43
  Sep 27, 2015
  Joined: Dec 1, 2014
  Messages: 2,535
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Yule mdada Wa twaweza ni nani? Unabisha sio mwanachama wa ccm!! Kusoma huwezi hata Picha uoni?
   
 5. r

  ray jay JF-Expert Member

  #44
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Sio kweli...kama hamjui hivyo vitu bora mkae kimya kuliko kudanganya dangaya bila sababu za msingi...nani kakwambia kila mtafiti ana chama..???
   
 6. r

  ray jay JF-Expert Member

  #45
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Mdada gani...?
   
 7. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #46
  Sep 27, 2015
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,811
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Wekeni na ile ya BBC kwa kila mkoa tuone
   
 8. r

  ray jay JF-Expert Member

  #47
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  BBC nao wametoa matokeo ya Utafiti wao..???
   
 9. i

  ikisimama panda JF-Expert Member

  #48
  Sep 27, 2015
  Joined: Apr 3, 2015
  Messages: 1,956
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  kwamba "sisi tuliendesha tafiti zetu za ndani zote zinasema mgombea wetu anaongoza kwa zaidi ya asilimia 70"!!

  huyu profesa mwingine nae anasema "mimi kuna RAFIKI yangu anafanya kazi oxford university alinambia lowassa atashinda ila kwa tofauti ndogo"!!!

  ila wakuu kwa anaejua vizuri kusoma body languages kipindi hawa raia wawili wanaikosoa ripoti ya twaweza atagundua iliwagusa na kuwashtua sana,,, lakini pia sijui mimi naonaje ila naona kama james mbatia na mwesiga baregu wamekua FEKI sana katika karibu kila wanachokitetea au ndo ile kwamba kutetea UONGO hua ni kazi sana?!!
   
 10. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #49
  Sep 27, 2015
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,669
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kwani kuwa mtafiti ndio huruhusiwi kuwa na chama? Hata kama picha hiyo ni ya kwqeli ni haki yake, mbona sio issue uanachama wa Maria Sarungi? Wote tunajua ni mfuasi wa chama gani!
   
 11. r

  ray jay JF-Expert Member

  #50
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Hakuna kitu kigumu duniani kama kutetea UONGO...Ni kazi ngumu kupitiliza
   
 12. i

  ikisimama panda JF-Expert Member

  #51
  Sep 27, 2015
  Joined: Apr 3, 2015
  Messages: 1,956
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  kwahiyo ni nini hasa unachojaribu kusema hapa?!!
   
 13. k

  kauleni JF-Expert Member

  #52
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 351
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi ile kauli ya mwenyekiti wetu wa ccm kututaka tujiandae kisaikolojia na kuwa tuache kuamini kwamba kila mgombea anayewekwa kugombea urais ndiye anakuwa aliitoa akirejea utafiti upi??
  Nikiangalia mambo yanavyokwenda nadiriki kusema alikuwa sahihi kuliko tafiti za hivi karibuni. Lakini tusisahau pia kuwa kwa nafasi yake anapata habari nyingi. Mimi sitaki usumbufu nimeamua kabisa kuyaunga mkono mabadililo nje ya chama changu.
   
 14. rallphryder

  rallphryder JF-Expert Member

  #53
  Sep 27, 2015
  Joined: Jan 24, 2015
  Messages: 3,159
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Unalialia nini sasa! kwani kwenye hizo picha wahusika ni wenyewe au sio wenyewe? Jibu.
   
 15. rallphryder

  rallphryder JF-Expert Member

  #54
  Sep 27, 2015
  Joined: Jan 24, 2015
  Messages: 3,159
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Picha iwe ya zamani iwe mpya huyo alionyanyua mavidole mawili ya kushangilia chadema, ndio yeye aliyetuletea ule utafiti wa TADIP ulioipa ushindi chadema na Lowasa wake? Jibu.
   
 16. r

  ray jay JF-Expert Member

  #55
  Sep 27, 2015
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Tusaidie Kamanda..,Maria ni Chama gani..?
   
 17. rallphryder

  rallphryder JF-Expert Member

  #56
  Sep 27, 2015
  Joined: Jan 24, 2015
  Messages: 3,159
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 280
  Ange declare interest kuwa ni mwanachadema kabla ya kuwasilisha huo utafiti wake fake wa TADIP tusingemlaumu.
   
 18. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #57
  Sep 27, 2015
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,811
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Tukapige kura na siyo kubishana kwa tafiti zisizo na maana
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #58
  Sep 27, 2015
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,371
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Hata kama ni picha ya zamani sana haitoi uhalisia kuwa jamaa bado ni Chadema na tulisema hiyo opinion poll ya hawa jamaa sio credible,imejaa ushabiki,watu sio wajinga kama mnavyodhani,hawa wanapaka nyumba ranginje wakati ndani kuta zimejaa masizi.
   
 20. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #59
  Sep 27, 2015
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,914
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Lazima wahoji. Umekielewa alichokiandika shonza? Baada ya kuwasomea utafiti kwa watanzania. Hii ina maanisha ni tukio lililofuatia baada ya mkutano na waandishi wa habari. Ndio essence ya kuhoji tarehe za picha. Kama ni mtihani umejibu ndivyo sivyo kwa kutoelewa swali.
   
 21. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #60
  Sep 27, 2015
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,914
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Maria Sarungi ali declare kabla YA KUSHIRIKI KULETA UTAFITI WA TWAWEZA ni sisi?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...