mh!Jana mida ya jioni nilikuwa nikisikiliza kipindi maarufu kinachozungumzia majanga yaliyowahi kuwapata watu ktk redio E fm. Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi kisha kulazimishwa kufanya ngono, baba kufanya na binti yake na mama kufanya na wanawe wa kiume. Kwa maelezo yake ni kwamba walifanya hicho kitendo kwa kuhofia kuuwawa. Swali langu ni kwamba, hivi penis inawezaje kusimama ikiwa mind-confused?
Soma kilichoandikwa kwanza ukielewe, usikurupuke ku commentMleta mada unatamani kula / liwa na ndugu zako nini??
Hii sio mada ni nukuu kutoka kilichosimuliwa, soma uelewe.Hii Mada haifai
Kufanyiwa ukatili kama huo ni upuuzi?!!Ondoeni upuuzi huu mods
tumefikia mijadala ya aina hii as GREAT THINKERS! kwani huko ulikosikia hawakutoa hitimisho? au hii ndiyo JF new model? mjadala huu kwa upana na urefu wake utatuongezea nini katika fikra zetu!
YAANI KTK SEKESEKE KAMA HILO, HATA KAMA UNGEKUTWA UNAPIGA GAME KWA DAME AMBAYE NI FIRST TIME KUKUTANA NAE.....WALAAHI, UKUNI UNASINYAA UTADHANI MTU KASHUSHA CHINI AERIAL YA RADIO...Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi kisha kulazimishwa kufanya ngono, baba kufanya na binti yake na mama kufanya na wanawe wa kiume.
Kwa maelezo yake ni kwamba walifanya hicho kitendo kwa kuhofia kuuwawa.
Swali langu ni kwamba, hivi penis inawezaje kusimama ikiwa mind-confused?
Faiza asante sana,,, you think BIG..........hilo linawezekana kabisa pasina shaka........Ukisoma japo kiduchu tu utaelewa kuwa maumbile ya kiume na ya kike yanategemea "blood rush" kwa kiwango fulani na "adrenaline" kwa kiwango fulani ili kuwa katika "sexual state".
Watafiti wa "sexuality" wanayakinisha kuwa kwenye uoga, hofu, na hata machungu ya mwili ndipo kunakuwa na maraha zaidi ya "sexuality".
Hakuna cha ajabu ni wazi kabisa hilo linawezekana.
Jisomee: The Connection Between Sexual Pain and Pleasure | The Huffington Post
Faidika na darsa la FaizaFoxy
Ukisoma japo kiduchu tu utaelewa kuwa maumbile ya kiume na ya kike yanategemea "blood rush" kwa kiwango fulani na "adrenaline" kwa kiwango fulani ili kuwa katika "sexual state".
Watafiti wa "sexuality" wanayakinisha kuwa kwenye uoga, hofu, na hata machungu ya mwili ndipo kunakuwa na maraha zaidi ya "sexuality".
Hakuna cha ajabu ni wazi kabisa hilo linawezekana.
Jisomee: The Connection Between Sexual Pain and Pleasure | The Huffington Post
Faidika na darsa la FaizaFoxy