Inawahusu zaidi wanawake

Inawahusu zaidi wanawake

Baba Wille

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
548
Reaction score
554
Salamu ndugu zangu.Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika.

Swali: Ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto au watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au mtoto mmoja wapo auawe na wawili mpone utachagua nani kumtoa sadaka; mme au mtoto.

Nawasilisha.
 
Salamu ndugu zangu!

Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika.

Swali: ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto/watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au mtoto mmoja wapo auawe na wawili mpone utachagua nani kumtoa sadaka; mme au mtoto?

Nawasilisha!

Is it 28 yrs old au nimeona vby ni 08???
 
wazazi msasahau kulogg out PC zenu jamani............madhara yake ndo haya
 
Si kitu kizuri cha kuongelea na wala hakitakuja kutokea kwa uwezo wa Mungu…namwamini yeye kila siku.
 
Salamu ndugu zangu!

Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika.

Swali: ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto/watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au mtoto mmoja wapo auawe na wawili mpone utachagua nani kumtoa sadaka; mme au mtoto?

Nawasilisha!

Kweli wewe huna akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom