Inaumaa

Hii ingelikuwa ni movie... Sidhani kama ingelieleweka!
 
AtaimaRIzia vipi , nae kadai mpaka atakapoLUdi kazini ?
TumsubiLIe akiLUdi atutamatishie stoLI au waonaje Bw. SunguLA ?
Hivi kumbe hajarudi nadhani ni siku ya tatu toka ametoa ahadi hiyo kwani anafanya kazi ofisi gani
 
Hivi kumbe hajarudi nadhani ni siku ya tatu toka ametoa ahadi hiyo kwani anafanya kazi ofisi gani

Noted me properly, huyu mtoa mada hajasema "atarudi" kama unavyosema wewe , yeye amesema "ataludi"
 
Noted me properly, huyu mtoa mada hajasema "atarudi" kama unavyosema wewe , yeye amesema "ataludi"
Oooops! kumbe alikuwa anamaana yake? maana siku hizi ukichange speling tu tayari na maana inabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…