Yanakuhusu? Utasutwa kwa umbea wewe? Ndio mana Kongosho kakutosa!kuona wanawake mnavyotutenda. Just imagine nikiwa bukoba club jana nimemwona Chimbuvu anaponda raha na charminglady,poor C6 anatia huruma maskini,kumgharimia kote charminglady kisha anafanziwa.
Kumbe siku hizi humu kuna mambo eeh! Ngoja niweke kambi hapa ili nizifahamu kapo mpya!! Mzima weye lakin?
Mwambie kama hujipendi!Nikimwona C6 nimwambie haya uliyoyasema?
Kwani cantalisia kaachana na rejao?
.bwaga moyo...By mtu chake
Kwani cantalisia kaachana na rejao?
Hapo sasa, mwana ccm yule atamuendea mtu bagamoyo
Kuna mambo sio kidogo kaka Rejao !Kumbe siku hizi humu kuna mambo eeh! Ngoja niweke kambi hapa ili nizifahamu kapo mpya!! Mzima weye lakin?