inauma sana........

Mmnh!! yana ukweli haya,!!??? let's wait and see

Absolutely,kwa macho yangu mwenyewe,tena charminglady alivaa kimini cheusi,kusema kweli ana mguu wa haja kajaaliwa mtoto mashallah,no wonder Chimbuvu mimacho ilimtoka utadhani chatu kamwona mwanambuzi Madame B sijui alikuwa wapi wakati huo.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe siku hizi humu kuna mambo eeh! Ngoja niweke kambi hapa ili nizifahamu kapo mpya!! Mzima weye lakin?
Kuna mambo sio kidogo kaka Rejao !

Mi mzima ndugu yangu, khofu kwako tu kaka mpendwa ! Vipi huu si ndio ule mwezi wetu wa kukutana home kwa shangazi eeh?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom