CYPRIAN MKALI
Senior Member
- Nov 12, 2010
- 176
- 65
Kuna jamaa yangu kanifuata kuomba ushauri juu ya tabia ya mke wake, naomba busara zenu wadau.
ishu ni kwamba toka mke wake apate ujauzito, nyumba imewaka moto!
shem amekuwa anamgomea mara nyingine hata kuchomeka neti na kutandika kitanda akidai ajisikii kutandika km hataki walale ivyo ivyo.
amekuwa mara nyingi anamajibu ya mkato na dharau ktk mazungumzo yao ya kila siku. kubwa kuliko hataki kabisa kushiriki tendo akidai hajisikii kufanya ivyo na ukizingatia ujauzito ndo kwanza una mwezi 1 [SUP]1[/SUP]/[SUB]2[/SUB].
mimi wakwangu hakuwa ivyo ati, so nashindwa amini sana ila sina uhakika labda kuna wengne wanakuwa ivyo au ni usanii tu?
jamaa amechanganyikiwa na ndoa ndo bado changa. nilipo muuliza unafikiria kufanya nini ju ya hili, akaniambia anataka atafute mwingne wa pemben hapo ndo nilizidi changanyikiwa nikahisi lipo juu ya uwezo wangu.