INAUMA SANA: Unayempenda kwa dhati kabsa, anapokuchukulia kama Rafiki yake wa kawaida

COPY AND PASTE

Jinsi Ya Kuuhepa Mtego Wa Kuwa Rafiki Na Mwanamke Unayempenda


Kama kuna kitu ambacho wanaume wanachukia ama kuogopa ikija katika maswala ya mahusiano ni kuona yule mwanamke unayempenda amejeuka rafiki yako badala ya mpenzi wako. Hii inajitokeza wakati mwanamume anaposhindwa kutumia mbinu mwafaka ambazo zitamwezesha yeye kutofautisha kati ya rafiki na mpenzi. Hii inadhihirika wakati ambapo mwanamume anakuwa rafiki wa mwanamke sana kupiti kiasi, inafikia level ambayo mwanamke anakuona wewe kama mtu ambaye akikumbwa na tatizo basi anakufikiria wewe. Wanaume wengi ikifikia hatua kama hii wanashindwa kujitatua na wanaishia kuwaona wanawake wanaowapenda kuchukuliwa na waume wengine huku wao wakiwa wameachwa katikati bila kujua la kufanya.
Ok. Kama wewe ni mmoja wa wanaume ambao wameachwa katika sehemu ya urafiki (friend zone) basi fahamu kuwa kuna habari njema. Tatizo lako limetatuliwa kwa njia rahisi.

1. Kuwa rafiki yake lakini tofauti na marafiki zake wengine
Msiongee vitu vya kijinga kwa masaa mengi ama mkae mnaongea kuhusu matatizo yake anayokumbana nayo maishani. Mnafaa kuongea vitu kama sinema, sehemu anazotembea, vitu ambavyo anapanga kufanya wikendi nk. Ongea vitu ambavyo vinahusiana na kudate. Hapo utafanya kuwe na msisimko kati yenu juu ya hewa.

2. Jaribu kuongea naye mkiwa pekeenu
Kama yuko na marafiki zake wengine, unaweza kuongea na yeye ama ukaamua kutoongea kabisa manake hauwezi kumrushia matamu akiwa pamoja na kundi zima la marafiki.
Mkiwa wawili unaweza kujaribu kutumia maujanja wa kumsuka bila yeye kutambua halafu kama kumekuja mtu wa tatu fanya kujeuza stori fasta. Hii itamuacha yeye kujiuliza kama kweli ulikuwa unafanya mzaha ama uko serious.
Hii itampa fikra za kuwa wewe unapenda zaidi kuongea na yeye mkiwa wawili pekee. Mwonyeshe dhahiri kuwa unapenda company yenu zaidi mkiwa wawili. Lakini chunga usithubutu kumwambia kuwa unampenda ama wataka kumtoa out.

3. Msifu wakati ambapo inahitajika
Kama amependeza usisahau kuchukua nafasi ya kumsifu. Pia unaweza kutumia ujanja wa kuchungulia kifua chake halafu kama amekuona ukimuangalia, fanya kutabasamu, mwombe msamaha halafu umwambie kuwa ulikuwa umeshindwa kujizuia. Jaribu kuongea na maneno ya ucheshi wa mapenzi na kutoa maoni ya mapenzi. Amini usiamini ataanza kukufikiria tofauti na utakuwa ukijinasua pole pole kutoka friend zone.

4. Mshike na mchukulie kama ni girlfriend wako
Lakini fanya na heshima. Unaweza kumshika mkono wakati mnavuka barabara na pia kumfungulia mlango kwa nyinyi wawili. Mfanye ajihisi yeye kama malkia na ataanza kupenda ateshen yako. Akiwa na marafiki wengine usimwonyeshe dalili hizi. Mfanye aelewe kwamba hii inatokea kama mko wawili pekee.
5. Mfanye ajihisi kuwa yeye specially
Mtuze kwa kumletea zawadi ndogo ndogo na binafsi mfano waweza kumletea ushanga nk lakini hakikisha kuwa umemwambia kuwa iwe siri kati yenu. Ukifanya iwe siri yenu utakuwa automatically unafungua mlango wa mapenzi na ataanza kukufikiria na mtizamo mwingine. Utakuwa mnajenga kemia kati yenu.

7. Muulize kama anataka kutoka out halafu ubadilishe stori fasta
Kama unaongea na yeye unaweza kumwambia kuwa unataka kumtoa lunch ama kwa mkahawa. Lakini kabla hajajibu fanya kumjeuzia topic nyingine ili abaki ajiuliza kama ulikuwa unafanya mizaha au la. Hivi itakuwa ikondoa tenshen ambayo itakuwa imejitokeza wakati wa kuuliza swali kama hilo.


Hii ndio njia rahisi ya kutumia na mara kwa mara utaona kuwa amevutiwa na wewe. Baada ya muda flani unaweza kuchukua hatua ya kumuuliza kama angetoka date na wewe na hapo hawezi kukataa.
Mkuu wewe ni mdau mkubwa tu wa nesimapenzi, hongera kwa hilo
 
Hahahaha....mkuu yani hapo kilichobaki ombea sana avurugwe huko alikouweka moyo wake. Na wewe endelea kuwa karibu naye tena sana tu, but in the mean time jaribu kutafuta someone else coz huwezi jua kwani unaweza ukampenda huyo mwingine kuliko hata unavyompenda huyu.

But ukiwa karibu naye utakuwa na chance kubwa sana endapo akiumizwa.
 
Nimekumbuka ule wimbo wa usione soo sema nae kuhusu kusubiri kuwa mwaminifu au kutumia kondomu ... Walikuwaga wanauweka kabla au baada ya maigizo ya fukuto, johari na mengine huko ya kina kanumba jumamosi jioni
Pole sana.Kumbe haya mambo bado yapogo!Any way,hua naamini kwenye ukweli sana.Kama ni wako atakuwa wako tu.Sijui mmekaa katika urafiki huo kwa muda gani na mmeshafanya vitu gani.Kufupisha story ili maisha yaweze kuendelea kwa upande mwingine,tafuta muda na nafasi nzuri ambayo mtakua wawili tu.sasa hapo mweleze hisia zako zote na kuonyesha wazi hisia zote pasipo kubakiza kitu chochote unachodhani kitakusaidia(kuwa wewe sasa kama ulivyo au kama unavyo jijua.namaanisha urafiki kando,uworkmate kando,sijui uclassmate kando yaani kuwa real hii ITAKUSAIDIA SANA KUJIAMINI NA KUWA TAYARI KWA MAJIBU UTAKAYOPEWA)kama ni wa kuku elewa atakuelewa tu na kama si wa kukuelwa hatakuelwa hata tu.Acha kujibebesha mizigo usiyojua hatima yake!
 
Shauri zake,muache aendelee kuneng'eneka tu Huku. Anaacha kisema ukweli anakuja kulalamika Huku jf

Ohooo!!

Anaogopa mdogo wetu bana si unajua kujifunza kutongoza nako shida sana. Hujui shida kutongoza wengine wanaweza kushangaa na haja ishamtoka kabisa.

Na nyie bana muwe mnakubali haraka haraka sasa inamaana hamuelewagi au ndo mnapenda turusha rusha kama maharage
 
Mkuu akikusumbua sana we mbake.. Ndo atajua kumbe kweli unahitaji muwe zaidi ya marafiki
 
Back
Top Bottom