VeenTanzania
Member
- Oct 28, 2020
- 7
- 5
Kufa tu , alafu utakuta hata kura haukupiga😂😂
Kununua uraia? Ndiyo maana mnashindwa uchaguziNielekezeni namna ya kununua uraia wa nchi nyingine kama Nigeria.
Kwa hiyo kawazidi keteAlisema kufikia 2020 hakutakua na upinzani nchi na amehakikisha limetimia
🤣🤣🤣 Unawakera wewe utapigwa ngumi we haya tuHeri angegombea mbowe mwenyewe maana alichokifanya Tundu ni sawa alikuta chama kinapumulia mashine yeye akakikatia kabisa na kukiingiza kaburini
Nadhani hili litakua fundisho kwa wapinzani wa vizazi vijavyo
Fu** You × to infinity
Punguza kejeli zisizo na maana wewe si great thinker kabsa au tatzo ni usiwe hvo hata roho haikusuti.Ingieni barabarani jamani
YANI WEWE KWENYE KILA UJINGA WEWE NI KUSHANGILIA TU EBU JIFIKILIE BASI KUWA SMART HATA KDOGO TUMwambieni Lissu awaingize barabarani
Sasa watamuachia nani wakati wote wameishaYaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Ma Comred hamtoniacha dada yenu nipigwe ngumi😂😂😂😂🤣🤣🤣 Unawakera wewe utapigwa ngumi we haya tu
Hio shuka kwashuka labda walipiga kwamkeoWenzenu CCM walipiga kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda. Nyie mkabaki kupiga kampeni hapa JF ndio matunda hayo.
upinzani unafanya kazi yake kubwa tena tuna wapinzani majasiri sana kufanya siasa katika mazingira magumu kama haya.Umasikini wetu.
uoga wetu.
umetusababishia utando kwenye bongo zetu hatuwezi tena kuamua nani atuongoze
na hii inaweza kulifanya taifa kuwa la kipuuzi tuu
lakini pia upinzani ndani ya nchi hii una mapungufu mengi kama olivyo CCM
upinzani unafanya kazi yake kubwa tena tuna wapinzani majasiri sana kufanya siasa katika mazingira magumu kama haya.
kilichobaki ni kujitambua tu kwa wananchi sababu unataka akina lissu wafanye nini zaidi ya wanachokifanya
kokote ambako serikali huwa zinaanguka huwa kwanza kuna muungano wa mengi wapinzani,asasi za kiraia,vyombo vya habari,viongozi wa dini n.k
sasa kwa tanzania hao wote sahivi ni mateka wa. ccm hakuna anayeweza nyanyua mdomo aseme lolote
ccm inatakiwa kuondoka kwa kutumia nguvu ya umma,siyo kwa kutumia upinzani...haya maisha yanatakiwa kuwa magumu zaidi ya hapa ili kila mtu asema sasa inatosha
sahivi hakuna kisingizio cha kwanini hatutakua na maendeleo kama ulaya,sababu wamebaki wao wenyewe,,,sasa kinachofata ni kusema miaka kumi haitoshi kuifanya nchi kuwa kama ulaya,anatakiwa aingozwe muda,ndio tunakua kama uganda
moyo wangu unalia machozi,hii siyo tanzania niliyokua naiota
smartphone?YANI WEWE KWENYE KILA UJINGA WEWE NI KUSHANGILIA TU EBU JIFIKILIE BASI KUWA SMART HATA KDOGO TU
sawa dadaTulilete thread APA tukawapa siri nyeupe kabisa, mwaka huu mkipata hata mbunge mmoja mkatoe fungu LA kumi, nyie si wajuaji tunapa siri mnajifanya wajuaji, siri ingine tunawapa! Ccm mwisho wake ni 2100, hapa ni unless mtajitambua lakini ndo siri ya ndan
Unaambiwa vtu serious unaleta mzahasmartphone?
Spana zmeisha?sawa dada
Kwahiyo unajifanya kipofu huoni yanayoendelea?Wenzenu CCM walipiga kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda. Nyie mkabaki kupiga kampeni hapa JF ndio matunda hayo.
Kawanyoosha sa hv kimyaaMsalimie Mwendawazimu wenu
Mjibu kwa hoja acha kujiharishiaWe Ni kapumbavuuu