Uchaguzi 2020 Inauma sana, nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka

Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.

Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia:mad::mad::mad:

Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Sasa watamuachia nani wakati wote wameisha
 
Umasikini wetu.
uoga wetu.
umetusababishia utando kwenye bongo zetu hatuwezi tena kuamua nani atuongoze
na hii inaweza kulifanya taifa kuwa la kipuuzi tuu
lakini pia upinzani ndani ya nchi hii una mapungufu mengi kama olivyo CCM
upinzani unafanya kazi yake kubwa tena tuna wapinzani majasiri sana kufanya siasa katika mazingira magumu kama haya.

kilichobaki ni kujitambua tu kwa wananchi sababu unataka akina lissu wafanye nini zaidi ya wanachokifanya

kokote ambako serikali huwa zinaanguka huwa kwanza kuna muungano wa mengi wapinzani,asasi za kiraia,vyombo vya habari,viongozi wa dini n.k

sasa kwa tanzania hao wote sahivi ni mateka wa. ccm hakuna anayeweza nyanyua mdomo aseme lolote

ccm inatakiwa kuondoka kwa kutumia nguvu ya umma,siyo kwa kutumia upinzani...haya maisha yanatakiwa kuwa magumu zaidi ya hapa ili kila mtu asema sasa inatosha

sahivi hakuna kisingizio cha kwanini hatutakua na maendeleo kama ulaya,sababu wamebaki wao wenyewe,,,sasa kinachofata ni kusema miaka kumi haitoshi kuifanya nchi kuwa kama ulaya,anatakiwa aingozwe muda,ndio tunakua kama uganda

moyo wangu unalia machozi,hii siyo tanzania niliyokua naiota
 
Tulilete thread APA tukawapa siri nyeupe kabisa, mwaka huu mkipata hata mbunge mmoja mkatoe fungu LA kumi, nyie si wajuaji tunapa siri mnajifanya wajuaji, siri ingine tunawapa! Ccm mwisho wake ni 2100, hapa ni unless mtajitambua lakini ndo siri ya ndan
 
sawa dada
 
Back
Top Bottom