Inauma sana ilboru special school

Oct 21, 2010
23
0
Wapo wapi mashujaa na viongozi waliosoma Ilboru special school pale Arusha? inauma sana shule hii inavyozidi kuporomoka kitaaluma just imagine mpaka leo wanafunzi wa ilboru hawajaanza kujifunza computer...........naililia ilboru
 
Inaporomoka kwa sababu gani hasa? maana wangekua walishaanza kusoma computer kisha wakaacha kidogo ningekuelewa.
 
Wapo wapi mashujaa na viongozi waliosoma Ilboru special school pale Arusha? inauma sana shule hii inavyozidi kuporomoka kitaaluma just imagine mpaka leo wanafunzi wa ilboru hawajaanza kujifunza computer...........naililia ilboru
Vipaji my ass uvipaji gani walio nao Ilboru huu ujinga ndio mnajazana mpaka mnaona kusoma UDSM ndio usomi uliotukuka
 
Dah! Mkuu umewataja Bino na Mzulu umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka tulikuwa na Bino road pia. Shule ilikuwa na icon lakini sasa hivi kwakweli inakuwa kama shule za voda fasta.

kamuulize Mzee Bino..... na Mzulu
 
Vipaji my ass uvipaji gani walio nao Ilboru huu ujinga ndio mnajazana mpaka mnaona kusoma UDSM ndio usomi uliotukuka
kweli wewe jina lako -k- mie nikisikia -k- tu basi naelewa wewe ni -k-, maana umendika pumba kabisa

ati vipaji my ass, maybe your ass ina vipaji vingi unataka kushea but we dont need those ass talents remember nurturing talents and great/bright student ni jambo muhimu kwa nchi zote duniani

Inaonekana hata umuhimu wa elimu huujui zaidi ya kupelekwa shule tu na wazazi

@Bingwa wa hoja, wewe na mimi kama wana ilboru alumni, tufanye nini kuboresha?
 
Sirikali imeshindwa kuendesha shule ile warudishiwe wamiliki halali wa shule KKKT hata tukipeleka computer sijui nini haitasaidia kuta zinaporomoka sijui lecture theater kama bado imesimama.Hatuna utamaduni wa kutunza vitu.
 
kweli wewe jina lako -k- mie nikisikia -k- tu basi naelewa wewe ni -k-, maana umendika pumba kabisa

ati vipaji my ass, maybe you ass ina vipaji vingi unataka kushea but remember nurturing talents and great/bright student ni jambo muhimu kwa nchi zote duniani

Inaonekana hata umuhimu wa elimu huujui zaidi ya kupelekwa shule tu na wazazi

@Bingwa wa hoja, wewe na mimi kama wana ilboru alumni, tufanye nini kuboresha?

Aise,
Jamaaa anajiita -k-,
then sentence anaanza na "My ass" , mmh! bana -k- acha tabia zako mbaya humu JF
 
Nilikenda Tanzania nitatembelea shule na kuongea na Head Master nione tunaweza kusaidia vipi hii shule. Kuna watu wengi sana wa Ilboru wenye nafasi za juu hata waziri Lazaro, Advocate Mpuya na Chipeta na wengineo wengi walisona Ilboru miaka ya tisini. Mimi nilimaliza form four 1993.
 
kweli wewe jina lako -k- mie nikisikia -k- tu basi naelewa wewe ni -k-, maana umendika pumba kabisa

ati vipaji my ass, maybe your ass ina vipaji vingi unataka kushea but we dont need those ass talents remember nurturing talents and great/bright student ni jambo muhimu kwa nchi zote duniani

Inaonekana hata umuhimu wa elimu huujui zaidi ya kupelekwa shule tu na wazazi

@Bingwa wa hoja, wewe na mimi kama wana ilboru alumni, tufanye nini kuboresha?

Mkuu Acid ni Wakati Mwafaka sasa Ilborians kote tujitolee Tuifanye Ilboru si tu kuwa Special Schoo bali Kituo Cha Sayansi na Technolojia Arusha, naamini kwa Vichwa vinavyokwenda pale vikilelewa katika Mazingira ya Kupenda kusoma na Kuvumbua tutapata Wanasayansi bora kabisa kuliko hata wanaomaliza Chuo Kikuu

Tuanzisheni Harambee ya IT Equipment na Pesa ili Ilboru pawe mahala Salama Kwa Kulea Wataalam Bingwa
 
Back
Top Bottom