nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,819
- 4,796
Kwa nani sasa???teh teh
weee mgomvi bidada....
Kwa nani sasa???teh teh
duh, alijitangaza kabisa?! au wewe umemjuaje mkuu?
hakuna tofauti kwa upande wangu bcoz nyuma ni nyuma tu wakati kuna tofauti ya mb na papuchi
weee mgomvi bidada....
Nimekuwa nafundisha shule za boys kwa miaka minne had nlipohama mwaka huu mwanzoni na shule zenyewe ni a level peke yake jambo la ajabu ambalo sisi waalimu wa shule hizi tumezoea ni kuwa ukizunguka maeneo ya shule hasa pembeni ya mabweni kama unakagua usafi utakutana na Condomu nyingi sana zilizotumika ....kwa iyo haya mambo ya ushoga hasa kwenye context ya shule za bweni yamezidi sana na bahati mbaya waalimu wanashindwa kulizungumzia maana ni taboo......