NinazoKwakweli Jicho analo aisee..
Yani sipati picha enzi za ujana wake.
Natamani nipate picha zake at her 20s...
Amempa tayari?Imekaa njema Gerson Msigwa akampa kifuta jasho.
Amempa tayari?
Kwa sasa dunia ni kijiji kama kuna mtu wa kuweza kumtoa kimaisha inawezekana lakini sisi tuna roho za korosho.Tatizo mazingira. Africa kuna watu wengi wenye talent za pekee sana, kama wangezaliwa USA au Europe na talent hizo, basi wangetoboa kimataifa.
Haya maisha hakuna wa kukutoa mkuu. Ni upambane ww mwenyewe ujikomboeKwa sasa dunia ni kijiji kama kuna mtu wa kuweza kumtoa kimaisha inawezekana lakini sisi tuna roho za korosho.
Huo wanja hujauona mkuu?Pamoja na yooooote
Mama ana Jicho aisee.
Tatizo sisi binadamu ni wenye kutegemeana, mtu kujikomboa mwenyewe katika haya maisha ni next to impossibleHaya maisha hakuna wa kukutoa mkuu. Ni upambane ww mwenyewe ujikomboe
Kizuri kitajiuza tuWenzie wachoraji, wasanii wa culture wanaenda kwenye matamasha ya wazungu, wanafanyanga kwenye shule zao za Cambridge, wanauza vitu vya kisanii kwa wazungu, kwa Bei kubwa.
Kufa kufaana.. Waziri keshamuona na kumpa 5
Sawasawa kila mtu na maono yake, Ila mond alivyokuwa underground hakuimbia ndan alizunguka kwa wadau wamuwezeshe, hata huyu kajitangaza tayari mitandaoni,Kizuri kitajiuza tu
Hata achoree wapi
Kama kuonekana itaonekana
Tu
Ova