Inatrend huko mitandaoni. Kijana huyu atafutwe apewe chakee. KUDOS to the art.

Tatizo mazingira. Africa kuna watu wengi wenye talent za pekee sana, kama wangezaliwa USA au Europe na talent hizo, basi wangetoboa kimataifa.
Kwa sasa dunia ni kijiji kama kuna mtu wa kuweza kumtoa kimaisha inawezekana lakini sisi tuna roho za korosho.
 
Wenzie wachoraji, wasanii wa culture wanaenda kwenye matamasha ya wazungu, wanafanyanga kwenye shule zao za Cambridge, wanauza vitu vya kisanii kwa wazungu, kwa Bei kubwa.
 
Haya maisha hakuna wa kukutoa mkuu. Ni upambane ww mwenyewe ujikomboe
Tatizo sisi binadamu ni wenye kutegemeana, mtu kujikomboa mwenyewe katika haya maisha ni next to impossible
Wanasema ukitaka kwenda haraka nenda peke yako, lakini ukitaka uwende mbali nenda na wenzako.
 
Wenzie wachoraji, wasanii wa culture wanaenda kwenye matamasha ya wazungu, wanafanyanga kwenye shule zao za Cambridge, wanauza vitu vya kisanii kwa wazungu, kwa Bei kubwa.
Kizuri kitajiuza tu
Hata achoree wapi
Kama kuonekana itaonekana
Tu

Ova
 
Kizuri kitajiuza tu
Hata achoree wapi
Kama kuonekana itaonekana
Tu

Ova
Sawasawa kila mtu na maono yake, Ila mond alivyokuwa underground hakuimbia ndan alizunguka kwa wadau wamuwezeshe, hata huyu kajitangaza tayari mitandaoni,
 
Back
Top Bottom