inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Hakuna litakalo mtokea Lissu kati ya hayo yote uliyopendekeza.
 
Lete neno moja tu aliloropoka. Unalipwa kwa ajili ya kuuwa unajiona ni immortal in the Earth.
 
Rubbish!!
Kwa hiyo wewe hata kiongozi akimfi....mke wako ni POA kwa sababu ni mamlaka imetoka kwa mungu
Hongera sana Bosi,,
 
Mkuu wakosea sana ukiendelea kuwa na fikra kama hizi.

Funguka mawazo nenda ndani pokea mawazo mbadala na uwe tiyari kusikiliza kauli kali za wapinzani wako. Yale chanya wachukua na yale hasi wapuuzia na maisha yaendelea usiwe mbangibangi.

Mbona watu kama Julius Malema au yule Bolsonaro wapiga kelele wee lakini hawaendi kokote?

Wadhani Julius Malema ataweza kuwa raisi wa Afrika Kusini?

Take it easy man, relax.

This guy has life changing injuries and in need of medical assistance at all times as well as his mental health because he is in staying in very confined space in a cell, just for well articulated and brushed fabricated case against him

So, why don't you be courageous as he is and show decency in your comments?.
 
Kwahiyo Mungu anawapigania machawa na watekaji?
 
Carefully chosen word by Lisu. Angeliwea kusema Najua Mh Hakimu umefanya/umetimiza wajibu kisheria, ingawa inawezekana, nasema inawezekana, umeshinikizwa kufanya kama ulivyofanya......................

Kwa Mawakili wa serikali angeliweza kusema. Mawakili mmetimiza wajibu wenu wa kisheria na kwa vile mko chini ya DPP, inawezekana pia kuwa mengine mmeyafanya kwa kutokuwa na utashi wenu bali walio juu yenu............

Hypothetical situation: angelisema hivyo ingelikuwa na impact gani katika kuendesha kesi yake.
 
Kumnyonga hapana isipokuwa kinoendelea ni kuvuta muda.

Ni wazi hakuna ushahidi dhidi yake hivyo kilobakia ni kupoteza muda.

Wakifanya hivyo unavyosema watakuwa wameiweka nchi katika wakati mgumu mno kwa miaka ijayo.
Pia wataviweka vizazi vya kwenye wakati mgumu, vizazi vya Msoga yooooooooooooote, na vizazi vya machawa wooooooooote.....vitalipizwa kisasi kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…