inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Chama cha CCM mtandao ni mafia, wanajua Samia asipokuwa Rais mambo yao mengi yatapata vikwazo. Kwa hiyo CCM mtamdao kwa gharama yoyote ni lazima Lissu ahukumiwe kunywagwa na Samia awe Rais.

Je Watanganyika tunakubali haya mambo yatokee? Ni kweli Lissu ni mhaini? Je kuomba Reforms ni Uhaini? Kuwaambia wananchi wasusie uchaguzi ni Uhaini?
 
hakuna cha roman empire wala Marcus Aurelius,
criminals especially puppets like you, must be persecuted and jailed in accordance to the law of the land.

lazima ushike adabu na ukome kuropokaropoka hovyohovyo
ndgu angu utaua utanyonga na ww utapita tu huishi milele na damu ya watu uliyomwaga bila hatia itakulilia na hautabaki salama
 
Namuona karama katika nchi ya kusadikika akijitetea mbele ya mfalme!!

"Kwa mamlaka,nguvu na uwezo wa Roho mtakatifu nakuomba umuokoe mtumishi wako na kifo hiki,ikibidi usababishe kifo kikuu kwa mtesi mkuu wa mtumishi wako Ili jina lako liinuliwe ipasavyo"

KAZI na utu tunasongambele!
 
🌈
 
Kumnyonga hapana isipokuwa kinoendelea ni kuvuta muda.

Ni wazi hakuna ushahidi dhidi yake hivyo kilobakia ni kupoteza muda.

Wakifanya hivyo unavyosema watakuwa wameiweka nchi katika wakati mgumu mno kwa miaka ijayo.
 
Hakika MUNGU atampigania lakini hawezi kunyongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…