dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,143
- 5,610
Habari wana jukwaaa,
Ni matumaini yangu mu wazima , ni katika harakati za kuliendeleza jukwaa letu pendwa mbele, nadhani asilimia takribani mia tu wanaotumia jukwaa hili ni wasomi na watu wenye fani zao , suala linakuja pale mtu anapoleta uzi humu ili kuweza kupewa walau mwelekeo wa jambo husika , wasomi haohao na watalamu wa mambo mbalimbali anatoa comments ambayo hata mtoto wa primary hawezi toa, kwakweli hawezi toa, kwakweli inakera sana na inadhalilisha weledi wako.
Karibuni sana,
By
Dimaa.