The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Mbona USA na UK ugonjwa umeingia mwezi March mpaka sasa hali ni mbaya sana ?Kuna wanaodai Africa haijaathirika Sana sababu hili gonjwa lilichelewa kuingia ila tusubiri angalau huu mwezi wa 4 upite tutajua tuko kwenye hali gani.
umekaa kwenye sofa na rimote roho inakuuma kutosikia vifo kwa wingi wala lockdown.Nyie endeleeni kupiga ramli na mfalme wenu kibwetere.
kukaa karibu na maktaba sio kujua kusoma.Huyo Yesu mbona nyinyi wa afrika mmeanza kumjua wazungu walipo kuja huku Africa? Kwahiyo sasa hivi mnajiona mnajua zaidi kuliko wao? Kweli Africa ni ovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu Afrika dini tumeletewa tu lakin waislam na wakristo wa ukweli wamebaki afrika tu waarabu wamebaki na utamaduni tu wa kiislamu wazungu wameukana kabisa uo ukristo kama huamin fanya simple research utajuaHuyo Yesu mbona nyinyi wa afrika mmeanza kumjua wazungu walipo kuja huku Africa? Kwahiyo sasa hivi mnajiona mnajua zaidi kuliko wao? Kweli Africa ni ovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia Black Americans wenye maradhi mengineyoWacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.
NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
Kwahiyo wewe unaelimu sawa na mwalimu wako aliyekufundisha kusoma std 1Huyo Yesu mbona nyinyi wa afrika mmeanza kumjua wazungu walipo kuja huku Africa? Kwahiyo sasa hivi mnajiona mnajua zaidi kuliko wao? Kweli Africa ni ovyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app