Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

Status
Not open for further replies.
" Please chip $5 to support Obama for 12" ulikuwa ujumbe kwa wamarekani wote hasa (47%) ambao Mitt Romney did give a damn about. Obama alikuwa Rais, anaruka na AirForce One, hizo pesa zilikuwa za nini? Lakini ndizo zilizo run campaign na kumwezesha kushinda tena. Wewe kama business man, you should know umuhimu wa michango to run project. SHAME ON YOU
Vilevile you should know hizo pesa zinatumika vipi na nani ana access kwa hizo hela
Mali bila daftari hupotea bila kujua. Tokea M4C ianze hela nyingi sana zimechangishwa lakini hatujawahi kuambiwa zimetumika vipi
 
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!
Chama huchangiwa, ukiona chama kinahonga, kiogope kama ukoma.
 
Mkuu, kumchangisha Mtanzania wa sasa mchango wa aina yoyote na akakubali unahitaji ushawishi wa Kiroho. Watu wameshachangishwa na kuibiwa sana hivyo hawana imani na uchangiaji wakati mwingine hata wa maendeleo yao.
Kama wananchi wa Iringa walikubali kuchanga kwa hiari yao basi hilo ni jibu kuwa wana imani na wanaowachangia. Ni imani yangu hata hivyo kuwa vyama vya siasa ni lazima viendeshwe na wanachama wenyewe na si kutegemea ruzuku ambayo ni kodi ya Watanzania wote hata wasio wanachama wa vyama vya siasa. Ni vyema vyama vya siasa vikawazoeza wanachama wao kuchangia vyama vyao kwa sababu ruzuku siyo kitu cha kudumu.
 
Mkuu Ritz kwa hiyo kuongoza nchi ni kuiba na kukomba kila kitu,kuficha fedha zetu Uswiss?? FAST JET, EPA, RICHMOND, DOWANS( nasikia wameanza kulipana fedha za TANESCO) kuuza Loliondo, kuuza Buzwagi, Kahama mine??? Hiyo ndiyo kuongoza nchi au vipi, fisadi mkubwa wewe unalipiwa Lumumba, unashinda kwenye mahoteli makubwa( Mwampamba na Shonza staili)???

Umepanic man.
 
Mie nawashangaa nyie wote mnaohangaika kumjibu huyu Mgonjwa, kwanza hatujapata taarifa kutoka kwa Dr wake kama ameshapona yale magonjwa yake 7 ya mwanzo, halafu jana nimesikia kuwa amepata ugonjwa mwingine (TAUROPHOBIA kama sijakosea). Mi naona mngempotezea tu jamani huyu mgonjwa otherwise mtamfanya azidi kupata maambukizi ya magonjwa mengine. Mie huyu LUKOSI baada ya kupata taarifa za magonjwa yake nimeacha kabisa kujibizana nae, ni kupoteza energy na muda bure kujibu hoja za KIPUUUZI kama hii. JITU ZIMA OVYOOOO
 
Maskiniiii!!!, jamaa hii Tshirt inaonesha kuwa tangia apewe kwenye kampeni za 2010 haijawahi kugusa maji, hapa inasubiriwa nyingine 2015, Watanzania tuamke, tuukatae UHUNI huu wa kuhongwa Tshirt na kulishwa Pilau kwa siku moja na KUUZA UHURU WETU kwa miaka 5. OGOPA CCM KAMA UKOMA
 
" Please chip $5 to support Obama for 12" ulikuwa ujumbe kwa wamarekani wote hasa (47%) ambao Mitt Romney did give a damn about. Obama alikuwa Rais, anaruka na AirForce One, hizo pesa zilikuwa za nini? Lakini ndizo zilizo run campaign na kumwezesha kushinda tena. Wewe kama business man, you should know umuhimu wa michango to run project. SHAME ON YOU

Toka lini Lukosi amekuwa Businessman?!!..mtake radhi bana, yeye nitapeli tu, u-bsnessman unambatiza wewe!
 
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!
We jamaa u miongoni mwa wale tunaoambiwa mmejiriwa na Kina Nnape, Wassira na Mwigulu Nchemba katika mitandao ya kijamii kujaribu kupambana na kivuli cha CHADEMA nini?? Mbona hoja ni mfu haina mashiko?

Hebu tukukumbushe kidogo Kuhusu Historia ya TANU ya Nyerere ilipokuwa inapigania uhuru wa taifa hili tukufu. Wewe unafikiri TANU na Nyerere walifanikiwaje? Walikuwa wanapewa ruzuku na serikali ya kikoloni?
......kama wewe hujui,...jibu ni HAPANA!!..Alitumia njia hiihii wanayotumia CHADEMA kuweza kuwafikia wananchi wote wapate KUJITAMBUA na KUUPINGA ukoloni huu mwa weusi wenzetu nyinyi MA-CCM
na kujua wajibu na haki zao kitu ambacho CCM siku zote hawataki hili litokee kwa wananchi,siku zote wanataka wananchi wawe wajinga ili waendelee kufisidi mali ya umma na rasrimali asilia za nchi

Chama makini siku zote wananchi(wanachama na wafuasi) wanakifuata na kukichangia wenyewe bila shuruti.......Lakini chama cha ovyo na cha kigaidi siku zote kinalazimisha kupendwa na kinawatafuta wananchi kuhudhuria mikutano yake kwa kuwalipa....na chama cha namna kwa lugha rahisi kinakuwa kimekufa....hiki si kingine ni CCM!!
 
mchumia juani hilia kivulini, wananchi wanavunwa halafu wao vilongozi wa cdm wanazitumia pesa hizo bila jasho lolote.
 
Vilevile you should know hizo pesa zinatumika vipi na nani ana access kwa hizo hela
Mali bila daftari hupotea bila kujua. Tokea M4C ianze hela nyingi sana zimechangishwa lakini hatujawahi kuambiwa zimetumika vipi

wewe acha upumbavu bana siasa huziwezi pumnzika tu jomba
 
ndugu zanguni

jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano iringa mkutano ambao toka msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea dr slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? Si wange tumia nissan micra au toyota vitz zenye injini ndogo? Ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

jitambue!

uwezo wako ni mfinyu saaana katika kufikiria, ruzuku wanayoopewa ni kiasi gani na kazi wanayoifanya ni shlingi ngapi?nadhan kama ungefanya utafiti afu ukaandika maneno yao haya ingependeza sana, kimsingi naomba ujipange.
 
Mleta Uzi ulikurupuka kabla ya kufanya tadhimini ya mada yako! Hii ndio JF UNACHANWA TU!
 
Lol!!Gamba Cris lukos kweli ni gamba gamba yaani mtu na akili zake kila siku analeta mada za kijinga hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuleta humu ati anajiita the great thinker teh teh teh hii balaa kweli kweli ndio maana before nilisema iweje kila anayehamia kutoka Chadema kwenda Ccm anakuwa kama ana laana maake kama mmechunguza wote wanatoa pumba pumba kila kona wanakoenda sasa kuna wengine wamekwisha hata zile hoja za kipumba hawana sasa kwisha kazi
 
" Please chip $5 to support Obama for 12" ulikuwa ujumbe kwa wamarekani wote hasa (47%) ambao Mitt Romney did give a damn about. Obama alikuwa Rais, anaruka na AirForce One, hizo pesa zilikuwa za nini? Lakini ndizo zilizo run campaign na kumwezesha kushinda tena. Wewe kama business man, you should know umuhimu wa michango to run project. SHAME ON YOU

I wish ningekufahamu...You are very smart!!! Chris Lukosi, are you that dumb??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom